CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

Serengeti kuna madini na kujenga barabara kule ni janja yao tu ya kutaka kupata hayo madini. Nia si kutengeneza hiyo barabara, target yao kuchimba gold kimtindo, mtaona udongo watapeleka wapi wakishauchimba. Wait & see.
 
Why are you always on our backyard? Don't you have some work to do?

????? didnt grasp what you blubbered out, you mean you want Jamii forum to be exclusively Tanzanian? sijui hio ni adhari ya ujamaa ama ni kutosoma, whichever one it is it seriously boxed you to a one dimensional view of life.
 
this is totally an internal affair-but i know our figure leaders will address this matter to meet USA satisfactions
 
Kiranjaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wa dunia huyo, kimsingi hizo ni internal affairs lakini kwa sababu ya umaskini wetu hiyo itakua external affairs
 
Kwa hili naona serikali iendelee na ujenzi wa hii barabara. Mikumi barabara inakatiza katikati na hatujaona madhara yake.
 
Natamani kila nchi ingejali mambo yake na watu wake tu. Habari za kukatazana na kuamrishana zisingekuwepo.
 
Kwa hili naona serikali iendelee na ujenzi wa hii barabara. Mikumi barabara inakatiza katikati na hatujaona madhara yake.

Bara2 ingekatiza route ya hao nyumbu; jaribuni kutembelea mbuga za wanyama ndipo mtambua umuhimu wa vivitio hivyo! Na uzuri wa biashara ya utalii; mtaji wako (natural resources) inabaki pale pale!

Mikumi hakuna hiyo migration ya milions of wanyama at per! Mbona western Tanzania hakuna barabara; kwanini huko tu? Naanza kuamini michango ya hapo juu (madini); kwani suala la kusogeza maendeleo W Tz ndio wanahitaji zaidi!
 
Achananeni na wanyama waleteeni wananchi maendeleo na miundombinu. Kwa hili naiunga mkono serikali
 
Ni wazi kuwa pesa za kugharimia barabara hii sio za kwetu!! Ni misaada au mikopo na mtu yeyote muwajibikaji, akitoa msaada au mkopo anataka kujua na kuona zimefanya kilichokusudiwa!! Ni mategemeo yetu kwao ndio yanatuweka katika udhaifu huu wa kutojiamlia mambo!!

Kwa kuwa JK hupenda kusema "tunakopeka" au "wahisani", basi ni vema akafuata wanachotaka. Akifanya tofauti hatutaona hiyo barabara na nyingine kadhaa sehemu mbalimbali za nchi. Si wakati wa "maskini jeri" huu kwa JK. Bajeti itakwama na wahisani wata-withdraw pledges zao kwa kisingizio hiki. Matokeo yake umma wa watanzania wa hali ya chini wataumia zaidi.

Tuondoe siasa na kuangalia reality. Facts should not be sacrificed for opinions!!
 
????? didnt grasp what you blubbered out, you mean you want Jamii forum to be exclusively Tanzanian? sijui hio ni adhari ya ujamaa ama ni kutosoma, whichever one it is it seriously boxed you to a one dimensional view of life.

tunajua hiyo ni ajenda ya kenya ili serengeti isiinyime masai mara biashara, mnatutesa nyinyi wakenya kwa kutumia power yenu ya juu
 
????? didnt grasp what you blubbered out, you mean you want Jamii forum to be exclusively Tanzanian? sijui hio ni adhari ya ujamaa ama ni kutosoma, whichever one it is it seriously boxed you to a one dimensional view of life.

Did I ever mentioned that? Wewe ndio haujasoma, umekamilisha madarasa tuu bila kuelimika. Yaani hata kueleawa kusoma kasentensi kadogo kazi. Unaposoma jaribu kuelewa maudhui ya mwandishi siyo unakurupuka tuu.

Lemmi help you understand, nigglet! What i meant was, your friend MkenyaMzalendo needs to get his/her nose off of our country's affair. Got it!
 
chamoto is my first time to see u!!!!!!how a u sir!1
Nipo mkuu ila hua sijivinjari sana hapa, hiyo avatar yako siku za nyuma ilinifanya niangalie mara mbilimbili nikajiuliza, hivi ujumbe wake hasa ni nini?
 
I'm ready to fight against kenya or USA on this issue!!
Hii barabara ijengwe haiwezekani tupangiwe cha kufanya.
Nitaumia sana iwapo JK atashindwa kusimamia hili jambo.kama vipi liende kupigiwa kura bungeni.

Marekani wavunje viwanda vyao vinavyotoa co2 kabla ya kutuambia nini cha kufanya.

Naona wakenya wanatutafuta hawajui hasira iliyopo vifuani mwa watanzania,hasira hii inahitaji kutolewa sasa chonde chonde....PATACHIMBIKA.
 
Kwa hili naona serikali iendelee na ujenzi wa hii barabara. Mikumi barabara inakatiza katikati na hatujaona madhara yake.

Mkuu si kweli kua barabara inayokatiza MINAPA haina madhara....wanyama wingi sana wamekua wakiuwawa kutokana na kugongwa na magari...ebu cheki hapa ivi...

Road Kills in Mikumi National Park, Tanzania - Drews 1995

Road kills of animals by public traffic in Mikumi National Park, Tanzania, with notes on baboon mortality - DREWS - 2008 - African Journal of Ecology - Wiley Online Library

kwaiyo mkuu madhara yapo.....

ingawa suala la utunzaji wa wanyamapori na faida zake na ujenzi wa barabara hiyo ya siringit na faida zake ni very debatable...
 
Kwa hili naona serikali iendelee na ujenzi wa hii barabara. Mikumi barabara inakatiza katikati na hatujaona madhara yake.
hapa tatizo sio vifo vya wanyama tu bali ni uharibifu wa ecolojia nzima ya Serengeti-Massai-Mara ecosystem.You seems not to know the importance of this ecology to the people of North Tz and south Kenya.

Ikilazimu America itumie mabavu kuzuia ujenzi wa hiyo barabara.

In case of Mikumi ile mbuga haina migration route za wanyama wengi.(Only Mikumi has been destroyed "road kill"following barabara kupita mbugani.The ecology of Mikumi-Selous-Nyasa ecosystem haijaaridhika as no migration route)
 
Inasikitisha kuona watanzania wanaokubali kuhujumiwa kwa mwamvuli wa uharibifu wa ecosystem!
 
Eti "" The United States has expressed concerns to Tanzania's government about the impact of its plan to build road through the Serengeti that environmentalists say could affect the famed wildebeest migration and threaten endangered species"" this to me seems another nonsense. Hivi hawa wamarekani wanatoa wapi ujasiri wa kusema wanalinda mazingira na hao species wanazosema.....hivi hawajui kweli ni kiasi gani cha uharibifu wanachangia ktk kuvuruga mfumo wa hali ya hewa(ambao unazidi kuumiza viumbe walioko Serengeti na sehemu nyingine) kwa kudondosha mabomu Iraq, Afghanistani, Pakistani na sasa Libya...hivi wanadhani sisi ni mambumbumbu kiasi cha kutoona wanayofanya.....
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom