Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,054
Kwa wote mnaounga kujengwa kwa Serengeti Highway, naomba kuwauliza maswali machachace yafuatayo:
1. Mmeshafika Western Serengeti?
2. Mmeshaona kwa macho yenu The Great Migration?
3. Mnaelewa hawa wanyama wanatoka wapi kwenda wapi?
4. Je, mnajua ni umbali gani tok a mpaka wa mbuga za Kenya?
5. Mtafurahia wanyama wakiwa trapped on the Kenyan side na kuuwa utalii wa Serengeti?
6. Kwa nini wenye mahoteli au govt walikuwa wanalazimisha hiyo barabara itoke Arusha hadi Western Serengeti?
7. Kwa nini barabara isitokee Musoma ikaja unganisha na Mwanza Kama kweli nia ni kufikisha huduma kwa wananchi?
8. Barabara inayojengwa sasa ya kwenda Loliondo kwa babu mbona Kama ni njia hiyo hiyo ila jina lingine? (I could be wrong but I am afraid it will have the same impact on ecosystem)
9. Mmeshafanya scenario planning ya prediction of what will happen 50 years from now Kama hii barabara itajengwa?
10. Last but not least, wazawa wa Loliondo ni wamasai, je wanamazao gani ya kusafirisha zaidi ya kuchunga ng'ombe zao?
Wewe ni mwana Green peace-Civilisation zote zili nourish kwenye mito, barabara etc. In the short term your points will stand. In the long run Infrastructure is the only option foward. Raw products zetu are unmarketable due to overhead costs zinazoletwa na poor infrastructure.
In years to come environmental changes zitasababisha utalii uwe history, what next kama hakuna plan B. Kwa nini unauliza mmasai ana mazao gani? Na why not think kwamba in 50 years time maeneo ya mmasai yatakuwa yana produce finished products gani?
To keep up with the game we have to gamble, otherwise kutakuwa hatukuwafanyia haki future generations.