johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,803
- 143,272
Kwenye sheria baadhi ya vifungu Ili vilete maana ni lazima usome na vifungu vingine na kuunganisha maudhui.
Hata Biblia hatusomi kama Gazeti bali iko mistari ambayo ni lazima isomwe pamoja.
Ili kumuelewa Prof Kitila kuhusu Mkataba wa Bandari na Mkataba wa Mlimani City kufanana kila kitu ni lazima Usome pamoja na Ripoti ya CAG kuelewa hicho " Kila Kitu".
Mungu wa Mbinguni ni mwema!
Pia soma

- Kitila Mkumbo: Mkataba wa bandari unafanana kila kitu na mkataba wa ujenzi wa Mlimani City
- CAG: Mkataba wa Mlimani City Wizi mtupu; Prof Kitila: Mkataba wa Bandari unafanana Kila kitu na Mkataba wa Mlimani City
- Gawio la Mlimani City -UDSM la Sh milioni 44 lamshtua CAG
- Mkataba Mlimani City kufumuliwa baada ya CAG kushtukia upigaji wa kudumu miaka 50-85
- Serikali yabanwa madudu mkataba wa Mlimani City