Bye bye Sasatel

Sista

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
3,206
1,029
OMG, its a natural death. Nimebaki na moderm tu. No data. Vocha niliweka za mwezi mzima. Hakuna connection. Najaribu kuangalia salio - no response. Mweee customer care je, hakuna majibu. Nikaenda masaki makao makuu naambiwa hawajalipia minara haina mafuta, kiruuuu. haya nimebaki na mawazo ninunue moderm ya kampuni nyingine. Sasa vocha yangu inakuwaje? wiki na nusu sasa, hakuna data connection. niwasubiri wapate pesa za kuweka mafuta kwenye minara yote? matawi yako wapi, nabaini yamefungwa yote. kiruuuuuu nipeni pole mwenzenu
 
pole Sista ila mbona uko analogia sana? after all kuna mtu kama Njunwa wa mavoko na Mwl.RCT ambao wanaweza kukufanyia mchakato wa unlimited internet using some loopholes
 
Last edited by a moderator:
Asante donlucchese hawa jamaa internet yao ilikuwa bomba sana kwa matumizi yangu esp humu jamvini,; ndo hivo wamekufa kifo cha mende
 
Last edited by a moderator:
OMG, its a natural death. Nimebaki na moderm tu. No data. Vocha niliweka za mwezi mzima. Hakuna connection. Najaribu kuangalia salio - no response. Mweee customer care je, hakuna majibu. Nikaenda masaki makao makuu naambiwa hawajalipia minara haina mafuta, kiruuuu. haya nimebaki na mawazo ninunue moderm ya kampuni nyingine. Sasa vocha yangu inakuwaje? wiki na nusu sasa, hakuna data connection. niwasubiri wapate pesa za kuweka mafuta kwenye minara yote? matawi yako wapi, nabaini yamefungwa yote. kiruuuuuu nipeni pole mwenzenu
sasa na wewe unajiunga na makampuni ya kwenye briskefu kwanini?.

Kampuni ya mawasiliano ya uhakika ni vodacom tu.
Zingine sijui mobitel,tritel,sasatel,leotel wizi mtupu.
 
makampuni ya kwenye briskefu kwanini?.

Zingine sijui mobitel,tritel,sasatel,leotel wizi mtupu.

Miaghay umenivunja mbavu. Nasikia sasatel ilishauzwa kwa sh. moja
 
Last edited by a moderator:
Breaking News:Sasatel yafa Rasmi.
Noma sana kuna mshikaji flani namjua aliacha kazi kwa mbwembwe akaenda Sasatel nadhani na yeye atakuwa anapumulia mashine,vijana wengi wanapenda sana maendeleo ya harakaharaka yakija makampuni mapya anakimbilia tu bila kutafakari anaacha sehemu aliyekuwepo miaka miwili anaenda kwenye kampuni ambayo haijui ina background gani anatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa,Kuna kampuni ilikuja miaka ya 2008 inaitwa Hits Tanzania kampuni ya simu ilikuwa na prefix 0741xxxxxx ilinyang'anya wafanyakazi wengi kutoka kampuni za simu watu walikimbilia kisa walikuwa wanaenda kulipwa $3000 wakaacha kazi za huku walipokuwa wanalipwa 1.3m baada ya miezi mi3 wakakumbana na mtikisiko wa uchumi kampuni ikafa wakaanza kuemea mashine ahmad wengine wakapata zari wakaenda Equatorial Guine ndio ikawa manusura otherwise ilikuwa aibu maana walikuwa wamekaa miezi mi3 bila mshaara ikabidi wengine wakaanza kuuza magari yao haya makampuni mapya yanayokuja ni majanga sio mazuri kukimbilia...RIP sasatel
 
King Kong III nilipoenda ofisini nikamkuta shostito mmoja kapaukaaaa, mh nikasema hii image inaonyesha hata mshahara wa November & Decemba hajapata. sikuona dalili ya facial scrub, kucha zimebanduka rangi nikajisemea kiruuu
 
Last edited by a moderator:
OMG, its a natural death. Nimebaki na moderm tu. No data. Vocha niliweka za mwezi mzima. Hakuna connection. Najaribu kuangalia salio - no response. Mweee customer care je, hakuna majibu. Nikaenda masaki makao makuu naambiwa hawajalipia minara haina mafuta, kiruuuu. haya nimebaki na mawazo ninunue moderm ya kampuni nyingine. Sasa vocha yangu inakuwaje? wiki na nusu sasa, hakuna data connection. niwasubiri wapate pesa za kuweka mafuta kwenye minara yote? matawi yako wapi, nabaini yamefungwa yote. kiruuuuuu nipeni pole mwenzenu

Hata hivyo ulitakiwa ununue multipurpose moderm
 
King Kong III nilipoenda ofisini nikamkuta shostito mmoja kapaukaaaa, mh nikasema hii image inaonyesha hata mshahara wa November & Decemba hajapata. sikuona dalili ya facial scrub, kucha zimebanduka rangi nikajisemea kiruuu

Miezi mi2 tu?? Hawajalipwa mda mrefu sana hao.
 
Last edited by a moderator:
Which company will be next? ......wait.... hivi ile division ya simu ya TTCL ya simu za mkononi yani ttcl mobile bado ipo? Tehehe...... nimeimiss
 
  • Bado ipo, na kuna wakati simu zao walikuwa wanatoa bure kwa mkataba maalum
 
Back
Top Bottom