Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Mkuu umepoteza mda wako kumuelekeza huyu Willy, nadhani umeona majibu yake yalivyokosa credit.
You can not teach an old dog the new tricks.
You can not teach an old dog the new tricks.
wewe jamaa ha! ha! ha! ha! ha! bana......yaani nilijua tu na great analysis aliokusaidia keil yaani mwenye akili angetulia na kuchukua muda na kujibu kwa akili na si kama ulivyosema.....- Well, mkuu heshima sana kwenye maisha na kwenye siasa kila kitu ni lazima kupima risks, JF haikuhusika in anyway na kushindwa kwangu, naomba nikwambia tena knowing all the FACTS za uchaguzi nilioshiriki, ninasema tena JF had nothing to do with anything, My Facebook had nothing nasema tena absolutely nothing.
- Nimeshindwa na wagombea wenye uzoefu wa muda mrefu sana na chaguzii, wameshindwa na wamewahi kushinda sana, as opposed na mimi na miezi mitatu tu kwenye siasa za bongo, siamini kwamba walioshindwa wote jana ni members wa hapa JF'
- JF na Facebook zimenisaidia sana, hasa na hizi kampeni, isipokuwa nimeshindwa tu na waliokuwa na akili za kampeni kuliko mimi na wenye uzoefu mkubwa sana kuliko wangu, ingawa nimekusikia sana!
Again, JF has absolutely nothing to do with it!
Willie @Dodoma City!
LOL ... hapa inabidi umbane na Makamba Jr. maana na yeye anasema kuna wabunge wa upinzani pia wamepokea mshiko, so anasema ni aibu ya Bunge zima na sio CCM tu!
Sitakikusikia mbunge au kiongozi yeyote wa kitaifa akituambia ati kulikuwa na rushwa kwenye kampeni ya EALA.
a. Kama waliona kuna rushwa nani aliita PCCB?
b. Kama rushwa ilikuwepo walifanya jitihada gani kuwakamata kwa nguvu ya raia (citizen's arrest) watoa rushwa hao?
c. kama watu wanawajua watoa rushwa na wapokeaji rushwa walifanya nini kuwazuia? Haitusaidi sisi kama taifa kutuambia "kulikuwa na rushwa".
Sote - i hope sote - tunajua rushwa ni dhambi na aibu ya taifa na uchaguzi wa EALA siyo wa kwanza kwa viongozi kutaka kutumia rushwa!! Lakini hadi leo hii hakuna kiongozi yeyote wa maana aliyetegwa akakamatwa akitoa au kupokea rushwa!!!
KIMSINGI HAKUKUWA NA RUSHWA KAMA ILIKUWEPO WATU WANGEKAMATWA AU KUJULIKANA!! Next time, msisubiri hadi uchaguzi uishe ndio mtuambie kuna rushwa! .
Habari za watu kutoa rushwa zilikuwa zinajulikana kwa wiki kadhaa na najina yanajulikana lakini hakuna aliyethubutu kuwatega au kuwaumbua wahalifu hawa!! Watajeni kama mnawajua ili taifa lijue nani katoa na nani kapokea!!! rushwa ni rushwa kwa sababu inawapokeaji - quote me
LOL ... hapa inabidi umbane na Makamba Jr. maana na yeye anasema kuna wabunge wa upinzani pia wamepokea mshiko, so anasema ni aibu ya Bunge zima na sio CCM tu!
Mkuu umepoteza mda wako kumuelekeza huyu Willy, nadhani umeona majibu yake yalivyokosa credit.
You can not teach an old dog the new tricks.