Bwana Mjanjamjanja jijini Dar es Salaam: Papaa Msofe

Juzi tu niliona mama mmoja ameenda kulalamika TAMWA kwa kuzulumiwa kiwanja na huyo jamaa kwa jina la mungu kama ni changu namtia usenge
 
huyu sijui pedeshee amewahi kunikuta rose garden akadhania ningempapatikia. kaniamia heti yuko tayari kunipa 5million nilale naye. sijui anazania watu washenzi na wapumbavu kama yeye na midhaabu shingoni utafikiri ngombe. hutu wangu uai wangu, niutupe kwa sababu ya million 5? kwa kupata magonjwa ya ajabu? wala sishangai tabia za huyu mtu. anavyomwaga hela, polisi hawawezi kumkamata
Zile chain anazovaa zinasema kila kitu. You don't have to ask yourself twice. Anataka kung'aa kama malaika
 
Kuna ripoti nyeti zinazo igusa ikulu nitaileta hapa soon! Na yeye yumo ni mtu muhimu sana kwa shughuli binafsi za magogoni!!

Haaahaaa! Don't tell me he is also working as an advisor. That role is for the learned,qualified and skilled people. Does he fall in the group?
 
huyu sijui pedeshee amewahi kunikuta rose garden akadhania ningempapatikia. kaniamia heti yuko tayari kunipa 5million nilale naye. sijui anazania watu washenzi na wapumbavu kama yeye na midhaabu shingoni utafikiri ngombe. hutu wangu uai wangu, niutupe kwa sababu ya million 5? kwa kupata magonjwa ya ajabu? wala sishangai tabia za huyu mtu. anavyomwaga hela, polisi hawawezi kumkamata
Umekataa 5M! Sasa 'hutu' wako, 'uai' wako nk. Shs ngapi?
 
Kuna ripoti nyeti zinazo igusa ikulu nitaileta hapa soon! Na yeye yumo ni mtu muhimu sana kwa shughuli binafsi za magogoni!!
'ripoti nyeti zinazo igusa ikulu nitaileta' Kwa hivyo ktk zile ripoti nyingi (pengine utatudokeza ni ngapi? Je ni zaidi ya 50?) unataka kutuletea moja tu? Uchoyo huo!
N
 
Mjini sharti uwe mbishi, kuna wezi wa namna mbalimbali na wengine hawawezi kuzuiliwa na nguvu ya jeshi; huyo bwana mdogo hajagusa mali ya mbishi iliyopatikana kwa machozi jasho na damu, mali ya mbishi ambaye hahitaji msaada wa polishi wala sheria ya nchi kutetea maslahi yake!!!
 
hili nalo neno ! Hivi anaweza kumdhulumu 'carlos' (masawe)!?
 
Huyu Mushi kazulumu sana viwanja vya watu alitumia mgongo wa ndugu yake wa ARDHI. Hawawezi kumsulubu maana MASTERS wanakwenda mpaka makamishna wa polisi kupata bia baridi na kucheki mpira.[/QU Credibility ya polis wetu inabidi tuiangalie mara mbilli.niliwahipata sikiliza mazungumzo ya askari flan wawili bila wao kujua walikua wakisimliana jins ukibahatika kushughulikia kes ya utapeli papaa msofe nawe unavyonufaika! Wakaelezana jins wanavyozgombania..., What a shame!
 
Back
Top Bottom