Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,681
- 112,899
...................
Habari za jioni......this is a true story kwa niaba ya rafiki angu(mwanaume) anahitaji ushauri,anataraji kufunga ndoa mwezi april,anarafiki ake anaishi nje ya nchi muda kidogo umepita huyo rafiki alikuwa na misunderstanding na girlfriend wake jamaa(Bwn harusi mtarajiwa) kajaribu kuwa kati kasolve ikashindikana hivo wakaachana. Baada ya muda jamaa kaanza uhisiano na huyo ex wa rfk ake sahivi ni mjamzito na ndo anataraji kufunga nae ndoa.
Kamjulisha rfk ake kuwa anataraji kufunga ndoa ila hajamwambia na nani na rafiki yake kamtumia zawadi,suti viatu n.k,anaomba ushauri je AMWAMBIE RAFIKI AKE ANAMUOA ALIEKUWA GIRLFRIEND WAKE SAHIVI AU AFUNGE NDOA KWANZA NDO AMWAMBIE?
Ngoja nakuja
fazaa na bahati mbaya zipo lakiniYani yeye hajaona mwanamke wakuoa mpaa akaoe mwanamke aliye kuwa gf wa rafiki yake.
Huyo sio rafiki ni balaa, mwambie akisha owa siku rafiki yake akija nin'gi'nia juu ya kiuno cha mke wake asilalamike.
Hapa ndipo ninapo ielewa vizuri nyimbo ya Kikulacho ya Mr. Nice
unajua kuishi maisha ya udalali ni mabaya sana inafika hata mambo yanakukuta unasingizia marafiki anyway pole
Hakuna cha bahat mbaya wala nini, sioni sababu ya mtu kwenda kuoa mwanamke ambaye alikuwa ni gf wa rafiki yake zaidi ya kutafuta ubaya kwa rafiki yake.fazaa na bahati mbaya zipo lakini