Bwana Ahmed Ally Sisi tuliofeli Form Four Tuhame Simba?

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
335
661
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhamie Yanga?
 
Huyu mburula hajuagi kabisa kuchagua maneno ya kuongea. Yeye anadhani asilimia kubwa ya washabiki ni form gani.
 
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhame Yanga?
Maneno ya wasemaji hayo usiyachukulie serious sana.
 
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhame Yanga?
We topolo ushakula mihogo?
 
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhame Yanga?
Hama kengewahed,

Simba sc haina shabiki KILAZA
 
Anawacheka waliofeli form 4 wakati yeye mwenyewe hiyo methali ameikosea kwa kusema GANDA LA MUWA LA JANA, CHUNGWA AMELIONA TAMU badala ya kusema GANDA LA MUWA LA JANA, CHUNGU KAONA KIVUNO.

Jinga kabisa.

Kweli umevurugwa,juu umeandika tuhame Simba chini tuhame Yanga
 
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhamie Yanga?
Hata Ismail Aden Rage alipokuwa Mwwnyekiti wa Klabu yenu, naye aliwahi kuwaita mbumbumbu.

Kwa hiyo kuweni tu wapole kuitwa form four failures. Huenda yuko sahihi.
 
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhamie Yanga?
Nina division one ya point sevon narudia one ya point sevon manara kila siku ana mkejeli Ahmed Ali ila yeye kajibiwa mara moja tu analalamika yaani dr mwaka haji manara diva the bawse na mange wana matatizo ya saikolojia yaani wao wanatuka na kukejeli wenzao kila siku ila wakiguswa tu wao wanakuja juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom