Bw. Lowassa, A Bitter Pill to Swallow

Kwani ule unabii wako unahitaji 'ma strategists'?

Haswa kwani imani bila matendo imekufa! Kumbe Mungu atashuka kuja kutuletea mkombozi? Kwani Boss hujawa motivated na unabii wangu? lol !
 
wacha kupindisha mambo, wapi nimesema mimi ni strategist wa Bw. Lowasa? Nimesema nimeangalia TV alikuwa anahojiwa nikavutiwa na alichokisema na uwezo wake wa kujibu maswali (kulingana na mwono wangu) sasa hayo mambo ya ustrategist yametoka wapi?

Mbona unabehave ki-CCm kwamba kwa kuwa sikubaliani naye wacha nimtukane au nimpige risasi! Hatufiki hivyo!


Wawezaje fanya biashara isiyo na faida? Kuvutiwa ndiyo ticket yenyewe yakuanza kuji-register si inamaana unaimani kuwa ndiyo mkombozi mwenyewe sasa hapo mm nimekosea wapi? Ukiyavulia nguo maji usiogope kuyaoga...Kama unaamini anaweza why then shy away kumnadi? Bado narudia kama ww ndiyo type ya mastrategist (shabiki, fuasi, mpendwa etc) wake basi kazi anayo!
 
Back
Top Bottom