Butiama: Oparesheni 255 yapokelewa kwa kishindo, Mbowe akumbana na Mabango, ayasoma na kutoa majibu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Tulishasema humu na kwingineko kwamba kuiteketeza CCM kunahitaji muda mfupi sana, wala hatuhitaji miezi mingi.

Muda huu ninaoandika hapa tayari Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuu, Freeman Mbowe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, kama anavyofahamika Nchini Zanzibar ametua Butiama , eneo ambalo ni nyumbani kwa Baba wa Taifa la Tanzania JK NYERERE.

Hakuna maandishi yanayoweza kuelezea Ukubwa wa Mapokezi ya Chadema na yakaeleweka (kumbuka leo ni j3) , umati ni mkubwa kuliko Butiama yenyewe, ni noma.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba katika uhai wake wote bungeni , aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Nimrod Mkono, hakuwahi kulisemea jimbo hilo kuhusu jambo lolote lile, wananchi wanaendelea kufunguka kwamba hata mbunge wa sasa, ambaye ni Naibu Waziri, hajawahi kutetea Butiama kwa lolote, inasemwa kwamba ccm imewageuza watu wa Butiama kuwa kuku wa kienyeji.

Hali halisi hii hapa, hapa ni Kata ya Buhemba, na tunakusihi usiondoke JF kwa vile mikutano ni mingi mno.

Screenshot_2023-09-04-14-45-58-1.png
Screenshot_2023-09-04-14-46-02-1.png
Screenshot_2023-09-04-14-46-13-1.png
Screenshot_2023-09-04-14-46-19-1.png
Screenshot_2023-09-04-14-46-23-1.png
Screenshot_2023-09-04-14-46-28-1.png
Screenshot_2023-09-04-14-46-35-1.png
 
Nataka kujua tu mkuu
Alimdanganya mkewe anaitwa Suzan Masele (Mbunge CHADEMA 2015-2020) ahame CHADEMA kwa kumchafua Mbowe kwa ahadi ya mamilioni kutoka kwa Bashiru.

Cha ajabu mke alipohama CHADEMA na kutokomea NCCR jamaa naye akajifanya kuunga mkono juhudi za CCM.

Mke akapewa uweka hazina NCCR, huku ana mabilion ya CCM akakataa kumgawia mgao wake Tumaini na kwa hasira jamaa alidai talaka, in fact akadai wagawane Mali mwanamke akagoma. So waliachana ila mali na pesa za CCM zikabakia kwenye akaunti ya mke wake.

So alikosa vyote; Chadema aliipoteza, pesa za rushwa kutoka CCM alizipoteza, na mke alipoteza. So much of a loser
 
Naomba nirudie tena ninachokiamini. Chadema haina tatizo na wafuasi pamoja na wapiga kura. Hata uchaguzi ukifanyika leo chadema itapata kura nyingi mara 20 ya zile za ccm.

Tatizo liko kwenye tume ya uchaguzi. Tatizo Hilo losiposhughulikiwa hata kiungwe mkono na watanzania wote kasoro naibu waziri mkuu itakuwa kazi bure.
 
Kwa hatua hii ni kuamsha kanda zote , hatua inayofuata , kuanzia novemba ni kulazimisha Katiba mpya , hata hivyo masuala ya Katiba na Tume huru yanashughulikiwa na ofisi ya Katibu Mkuu hata leo
 
Naomba nirudie tena ninachokiamini. Chadema haina tatizo na wafuasi pamoja na wapiga kura. Hata uchaguzi ukifanyika leo chadema itapata kura nyingi mara 20 ya zile za ccm.

Tatizo liko kwenye tume ya uchaguzi. Tatizo Hilo losiposhughulikiwa hata kiungwe mkono na watanzania wote kasoro naibu waziri mkuu itakuwa kazi bure.
Ya Gabon yatajibu
 
Kazi kweli kweli 😅😅🙏🙏
 
Alimdanganya mkewe ahame CHADEMA na kumchafua Mbowe kwa ahadi ya mamilioni. Cha ajabu mke alipohama CHADEMA jamaa naye akajifanya kuunga mkono kuhusu za CCM.

Mke akakataa kumgawia mgao wake na in fact alidai talaka, jamaa akadai wagawane Mali mwanamke akagoma. So waliachana ila mali na pesa za CCM zikabakia kwenye akaunti ya mke wake.

So alikosa vyote Chadema aliipoteza, pesa za rushwa alizipoteza, na mke alipoteza. So much of a loser
Duh!...
 
Back
Top Bottom