Mkuu naomba nikupe Email yangu unipe kaintro kama inasound ur idea i wil find u!!! aba.pelham@yahoo.comnina business idea, ambayo ninauhakika inauwzo wa kutengeneza mpaka zaidi ya milioni3 kwa mwezi
-marketing plan imeandaliwa kitaalamu kabisa
mtu ambaye yupo serious na mwenye uwezo wa kuwekeza kiasi chochote kisichopungua 5,000,000 tuwasiliane simu yangu ni, 0712 494761 email titusjulius89@gmail.com
Watu wengi wananipigia simu wakitaka kujua wasifu wangu xo nimeona ni vema nijibu vizuri maswali yote hapa ili swali hili lisijirudie.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 20, asili yangu ni mtu wa mbeya, elimu yangu sio ya kutisha saana lakini namshukuru mungu angalau nimepata elimu ya kuondoa ujinga, umasikini na maradhi, lakini elimu ambayo ni ya juu kidogo niliyoipata ni ya maswala ya komputer na lengo langu lilikuwa niwe softwere developer. Ok nadhani kitu ambacho kitajibu maswali mengi ni historia yangu na maswala ya ujasilia mali.
Nadhani akili ya ujasilia mali niliipata tangu nikiwa kijana mdogo na hii inaanzia mara tu nilipomaliza darasa la saba kwani wakati wenzangu wengi wakienda kujiunga na pre-form 1 mimi nilipewa mtaji wa Tsh 5000 na aliyekuwa mwalimu wangu wa Tuition kuanza biashara ya machungwa That was my First Investment, Kabla majibu hayajatolewa nilikutana na mzee mmoja ambae alikuwa ni mwalimu wa Royola Sec akawa anazungumzia maswala ya kumfungulia mke wake biashara nikamshauri afungue biashara ya kituo cha gemu za watoto, nilipomuelezea jinsi biashara ilivyo alifurahi na akaamua kuwekeza m1.5 Akamleta mdogo wake kisha akaniomba niwe nashinda nae ili nimuelekeze jinsi ya kuendesha hicho kituo. Nilifanya hivyo na mradi huo ukaenda kwa mafanikio makubwa baadae tukaweza kufungua kituo kingine Manzese tip top Hapo nikapata ajira yangu ya kwanza.
Matokeo yalipotoka nikawa nimechaguliwa kujiunga na shule ya sec ya Turiani Magomeni, Mwezi wa kwanza nilianza kazi ya uandishi nikawa naandika story ambazo zilikuwa zinasomwa shule nzima, nikaamua kuanza kutafuta nafasi kwenye magaazeti baada ya hangaika ya kipindi kirefu nikafika kampuni ya mwananchi na kupata nafasi Riwaya yangu ikapokelewa, kutoka kwenye list ya zaidi ya riwaya 30 Riwaya yangu ikapata chaguo namba moja nikaendeleza kuitoa kipindi chote nikiwa Form 1, Ikawa shughuli yangu ya 3, Sikufatilia maswala ya malipo ila Mwanafunzi Wa chuo cha UDSM frank mlawa Tukawa tumefanana mawazo tukapanga kufungua kampuni lakini kutokana na kutojua pakuanzia tukaona ni bora tuanzishe Ngo. Frank akaorganise baadhi ya wenzie wa chuo waliokuwa wakisoma diploma na mwengine digrii tukakaa kikao mimi ndio nikawa mwenyekiti tukawa tunafanya vikao kila wiki
Kutokana na Profile yangu kuwa Ndefu Ngoja tu niandike shughuli nilizo zifanya kwa kifupi
2007 – 2008
-Nilipeleka Idea ya kampuni ya Path Technology, Idea ambayo ilifanya kuzaliwa kampuni ndogo Ya path Video Production Hadi leo kampuni hii inafanya kazi na nikawa nafanya marketing mpaka naingia form3
-Nilikutana na JB akanielekeza uandishi wa film nikaenda kusoma zaidi kwenye mtandao scriptwritingsecret.com Mwaka huo nikawa nimekutana na Mzee magali (ni jirani yetu hapa kigogo) kutokana na uwezo wangu katika uandishi akanishirikisha kwenye uandishi wa Film ya Behind The Scene iliyochezwa na masuperstar Rey na Marehemu(kanumba) Mpaka Kesho mimi ni mwandishi mzuri wa script
-Niliasisi Jumuia ya wanafunzi wenye vipaji wilaya ya kinondoni Tallent Stars na tukawa katika maandalizi ya kushot film 2 ambazo niliandika mwenyewe 1. Mission of scout 2. Street Boys nasikitika nilisikia kuwa jumuia hiyo ilikufa mara baada ya mimi kumaliza shule.
-Nilitengeneza Project write up Ya Ndoto magazine Office niliyofanyia iliuza project na aliyeinunua akaiendesha kwa mafankio makubwa
2008 2009
-Nilikuwa na Idea ya kufanya Tamthilia niliandaa wazo la story Nikashirikiana na aliekuwa Msanii wa Jumba la Dhahabu Liene Amanzi Tukampelekea Hatman Mbilinyi Akatoa Full finance Assistance Ant Ezekieli Akiwa kama Project Maneger na George Tyson Director Tamthilia hiyo ilirushwa Channel 10 na baadae DSTV
2009 – 2010
Nilidhamilia kufungua Kampuni yangu kwa nguvu zozote zile Nilikamilisha Kutengeneza Project write up nampata mzee mmoja ambae alikuwa na uwezo na utayari wa kutoa gharama zozote zile ili kufanikisha usimamishaji wa kampuni hiyo Alitoa Office kwenye Hoteli Yake Inayoitwa Mount Morian Akatoa vifaa Vyote Tulivyokuwa tukihitaji Lakini alipata matatizo ya kifamilia yaliyompelekea kuyumba kiuchumi na kuniomba nisimamishe project.
2010 Nilivyomaliza Form 4 Niliombwa nikafanye kazi DODOMA VIJANA CENTER KAMA PROJECT DEVELOPER Pia ni sehemu ambayo nilifanya kwa mafanikio makubwa ila nikarudi dar ili nijiunge na chuo Form 4 nilipata F F F F F F F F F F F FF F F Na B Moja ya Math hivyo nikaingia chuo kwa mipango.
Sikumaliza kutokana na matatizo ya kiuchumi. Ndugu yangu mmoja Ambae ni Maneger Forever Living Aliniomba nimsaidie shughuli zake, Kusema kweli nilifanya Parfect Nikateuliwa kuwa nafanya mikutano mikubwa ya Training Na Mortivetional Na mpaka sasa nippohuko nawork as RECORGNISED BUSINESS PRESENTER & MORTIVETIONAL SPEAKER
-SASA KINACHONIWASHA SASA HIVI NI INCOMPLEATED DREAM TO RUN THE WORLD SUCCESSFUL ENTERTEINMENT COMPUNY
I WANT TO HEAR FROM YOU
Ulipata F zote na B moja kisha ukaongia chuo kwa mipango
Dalili ya mtu asiye mwaminifu
Albert Einstein, named as man and genius of the 21st century the only man smart enough 2 be compared 2 sir Isaac Newton Failed miserable in all his subjects except Math,Physics and Chemistry na akashidwa kuingia chuo. I dnt know wat u can say abt that kwa logic yako
Watu wengi wananipigia simu wakitaka kujua wasifu wangu xo nimeona ni vema nijibu vizuri maswali yote hapa ili swali hili lisijirudie.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 20, asili yangu ni mtu wa mbeya, elimu yangu sio ya kutisha saana lakini namshukuru mungu angalau nimepata elimu ya kuondoa ujinga, umasikini na maradhi, lakini elimu ambayo ni ya juu kidogo niliyoipata ni ya maswala ya komputer na lengo langu lilikuwa niwe softwere developer. Ok nadhani kitu ambacho kitajibu maswali mengi ni historia yangu na maswala ya ujasilia mali.
Nadhani akili ya ujasilia mali niliipata tangu nikiwa kijana mdogo na hii inaanzia mara tu nilipomaliza darasa la saba kwani wakati wenzangu wengi wakienda kujiunga na pre-form 1 mimi nilipewa mtaji wa Tsh 5000 na aliyekuwa mwalimu wangu wa Tuition kuanza biashara ya machungwa That was my First Investment, Kabla majibu hayajatolewa nilikutana na mzee mmoja ambae alikuwa ni mwalimu wa Royola Sec akawa anazungumzia maswala ya kumfungulia mke wake biashara nikamshauri afungue biashara ya kituo cha gemu za watoto, nilipomuelezea jinsi biashara ilivyo alifurahi na akaamua kuwekeza m1.5 Akamleta mdogo wake kisha akaniomba niwe nashinda nae ili nimuelekeze jinsi ya kuendesha hicho kituo. Nilifanya hivyo na mradi huo ukaenda kwa mafanikio makubwa baadae tukaweza kufungua kituo kingine Manzese tip top Hapo nikapata ajira yangu ya kwanza.
Matokeo yalipotoka nikawa nimechaguliwa kujiunga na shule ya sec ya Turiani Magomeni, Mwezi wa kwanza nilianza kazi ya uandishi nikawa naandika story ambazo zilikuwa zinasomwa shule nzima, nikaamua kuanza kutafuta nafasi kwenye magaazeti baada ya hangaika ya kipindi kirefu nikafika kampuni ya mwananchi na kupata nafasi Riwaya yangu ikapokelewa, kutoka kwenye list ya zaidi ya riwaya 30 Riwaya yangu ikapata chaguo namba moja nikaendeleza kuitoa kipindi chote nikiwa Form 1, Ikawa shughuli yangu ya 3, Sikufatilia maswala ya malipo ila Mwanafunzi Wa chuo cha UDSM frank mlawa Tukawa tumefanana mawazo tukapanga kufungua kampuni lakini kutokana na kutojua pakuanzia tukaona ni bora tuanzishe Ngo. Frank akaorganise baadhi ya wenzie wa chuo waliokuwa wakisoma diploma na mwengine digrii tukakaa kikao mimi ndio nikawa mwenyekiti tukawa tunafanya vikao kila wiki
Kutokana na Profile yangu kuwa Ndefu Ngoja tu niandike shughuli nilizo zifanya kwa kifupi
2007 2008
-Nilipeleka Idea ya kampuni ya Path Technology, Idea ambayo ilifanya kuzaliwa kampuni ndogo Ya path Video Production Hadi leo kampuni hii inafanya kazi na nikawa nafanya marketing mpaka naingia form3
-Nilikutana na JB akanielekeza uandishi wa film nikaenda kusoma zaidi kwenye mtandao scriptwritingsecret.com Mwaka huo nikawa nimekutana na Mzee magali (ni jirani yetu hapa kigogo) kutokana na uwezo wangu katika uandishi akanishirikisha kwenye uandishi wa Film ya Behind The Scene iliyochezwa na masuperstar Rey na Marehemu(kanumba) Mpaka Kesho mimi ni mwandishi mzuri wa script
-Niliasisi Jumuia ya wanafunzi wenye vipaji wilaya ya kinondoni Tallent Stars na tukawa katika maandalizi ya kushot film 2 ambazo niliandika mwenyewe 1. Mission of scout 2. Street Boys nasikitika nilisikia kuwa jumuia hiyo ilikufa mara baada ya mimi kumaliza shule.
-Nilitengeneza Project write up Ya Ndoto magazine Office niliyofanyia iliuza project na aliyeinunua akaiendesha kwa mafankio makubwa
2008 2009
-Nilikuwa na Idea ya kufanya Tamthilia niliandaa wazo la story Nikashirikiana na aliekuwa Msanii wa Jumba la Dhahabu Liene Amanzi Tukampelekea Hatman Mbilinyi Akatoa Full finance Assistance Ant Ezekieli Akiwa kama Project Maneger na George Tyson Director Tamthilia hiyo ilirushwa Channel 10 na baadae DSTV
2009 2010
Nilidhamilia kufungua Kampuni yangu kwa nguvu zozote zile Nilikamilisha Kutengeneza Project write up nampata mzee mmoja ambae alikuwa na uwezo na utayari wa kutoa gharama zozote zile ili kufanikisha usimamishaji wa kampuni hiyo Alitoa Office kwenye Hoteli Yake Inayoitwa Mount Morian Akatoa vifaa Vyote Tulivyokuwa tukihitaji Lakini alipata matatizo ya kifamilia yaliyompelekea kuyumba kiuchumi na kuniomba nisimamishe project.
2010 Nilivyomaliza Form 4 Niliombwa nikafanye kazi DODOMA VIJANA CENTER KAMA PROJECT DEVELOPER Pia ni sehemu ambayo nilifanya kwa mafanikio makubwa ila nikarudi dar ili nijiunge na chuo Form 4 nilipata F F F F F F F F F F F FF F F Na B Moja ya Math hivyo nikaingia chuo kwa mipango.
Sikumaliza kutokana na matatizo ya kiuchumi. Ndugu yangu mmoja Ambae ni Maneger Forever Living Aliniomba nimsaidie shughuli zake, Kusema kweli nilifanya Parfect Nikateuliwa kuwa nafanya mikutano mikubwa ya Training Na Mortivetional Na mpaka sasa nippohuko nawork as RECORGNISED BUSINESS PRESENTER & MORTIVETIONAL SPEAKER
-SASA KINACHONIWASHA SASA HIVI NI INCOMPLEATED DREAM TO RUN THE WORLD SUCCESSFUL ENTERTEINMENT COMPUNY
I WANT TO HEAR FROM YOU
Kwa historia uliyoitoa hapa, naoata shida kuelewa kwanini kupata sh. mil 10 iwe tatizo kwako?!!! All the people you worked with, you are working with, you meet... I mean something isnt right here!
Sina tatizo na mtu kutofaulu masomo yake, hata asipofaulu yote
Tatizo langu lipo kwenye kutofaulu na kisha kutumia udanganyifu kuingia chuo kikuu.
Mtu aliyeweza kudanganya wazi hapo, atashindwaje kunidanganya na mimi nikifanya naye biashara?
huo uongo mtakatifu, sio mbaya.
kizuri kama hakitaathiri watu wala uchumi wa nchi.Hebu tuelezane vyema, kuwa kitendo cha udanganyifu ambacho kinakwenda kinyume na sheria na nchi ni kizuri?
Victor Marie HugoTheres Nothin Great Than A dream To make The Future
Duu Kumbe Sijaeleweka, Haukuwa mpango haramu, Ulikuwa mpago halali tu kwasababu nilitakiwa nisomeshot course Veta Pc Maintenence Then ndio nitumie kuingia chuo Japokuwa nahisi kuna afisa mmoja alinisaidia. Mimi mzee wangu ni Mwalmu Wa Bible wa Kujitegemea Xo Kwanza nimelelewa kwenye mazingira ya kidini lakini pia Yeye hawezi kushiriki kwenye Udhalimu wa aina yoyote, Nimefurahi kwa
comment zenu, But napenda kushauri tu kuwa sumu ya Biashara yoyote, hata biashara ya kuuza ulojo ni kutokuwa mwaminifu.
Dada catherine watu wamepatikana lakini bado wanataka kujua zaidi mimi wala sina neno nipo kawaida xana