Rapunzel
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,079
- 597
Wazo langu ni kurun City Clickers Enterteinment As Compuny Kampuny ambayo itakuwa ikiendesha miradi mikubwa miwili, Mradi utakaokuwa ukihusiana na maswala ya Sanaa na Burudani (MarketBase) na Mradi Mwingine ni Mradi Utakaokua Ukihusiana na Maswala ya Technologia ya Bussiness Machines (Mactonic Service)
Huu utakuwa ni Mradi ambao umelengwa kufanyika kimataifa. MB itakuwa Directory na soko kubwa La sanaa na Burudani
Mambo yatakayofanywa na kampuni hii ni mambo ambayo Hayajafanywa na kampuni yoyote ya burudani hapa Tz Pengine na East Africa kwa ujumla Ndio maana sitaki kuelezea sana hapa,Ila kutakuwa na vitu kama
MBR (Market Base Ranking) Here Is The Place where we can Bridge the gape Bitween You and People Who need You
MBA (Market Base Award) Nothing is Great Than Worldwide recognition
MBP (Market Base Projects) Nina uhakika kuwa kazi Bora za sanaa Tanzania ni zile zitakazokuwa zikitoka MarketBase
MarketBase ni Idea ambayo imekuwa ikisubiliwa kwa muda mrefu sana ilikuleta Ufumbuzi wa Matatizo Sugu katika nyanja za sanaa na burudani hususan katika nchi zetu za Africa Mashariki
Maxmum Invesment Katika Mradi Huu peke yake ni kama m7 But it can Begin with 3m only
Mradi huu ukiwa umesimama kabisa unaweza kuingiza hadi zaidi ya 5 million kwa mwezi hii ni ukitoa gharama zingine
zote za uendeshaji kama mishahara, usafiri, mawasiliano N.k
KUMBUKA! MAFANIKIO HAYALETWI KWA MALENGO MAZURI BALI HULETWA NA MIPANGO MADHUBUTI YA KUFIKIA MALENGO MarketBase imejengwa na mpango madhubuti ya kuleta ma
Ok niko interest na Sanaa na Burudani je unaweza kunifafanulia ni sanaa za aina gani ambazo Market Base itadili nayo maana kuna sanaa lukuki Tanzania, Lets talk