Nape, kwanza hongera kwa kuchaguliwa NEC, CC na Katibu Mwenezi. Tangu umechaguliwa, sijabahatika kukuona humu, hivyo nimefarijika sana kukuona tena, ila pia utanisamehe, isije kuwa ni mimi tuu ndio sijabahatika, ula upo na ulikuwepo.
Pamoja na kuanzisha hii thread ya uchaguzi, kati ya biashara na siasa, kwa maoni yangu binafsi, haina mashiko kwa CCM as long CCM tayari imeishahodhiwa na wenye nazo. Siasa za CCM ya sasa ni pesa kama huna, huna chako.
Ila hoja hii, inaweza kuwa na mashiko kama ni kweli CCM iko serious na mageuzi yake ya kujivua gamba, ili ibaki CCM safi ya watu waadilifu na kuwaruhusu wenye nazo, wakajiendeshee zao maisha yao mbali na CCM ile ya Nyerere.
Kwa vile wewe ni member humu, nakusihi sana jitahidi ujitokeze hivi japo mara moja moja ili angalau ukitetee chama chako kwenye hoja za msingi, badala ya kukaa mbali na kuacha uwongo ukirudiwa rudiwa mpaka mwisho wake unaonekana ndio ukweli.
Karibu tena.
Pasco.
Wana psychology tunaona hizi ni dalili za frustrations.Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..
what morals?? do you have any??Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..
Nape, kwanza hongera kwa kuchaguliwa NEC, CC na Katibu Mwenezi. Tangu umechaguliwa, sijabahatika kukuona humu, hivyo nimefarijika sana kukuona tena, ila pia utanisamehe, isije kuwa ni mimi tuu ndio sijabahatika, ula upo na ulikuwepo.
Pamoja na kuanzisha hii thread ya uchaguzi, kati ya biashara na siasa, kwa maoni yangu binafsi, haina mashiko kwa CCM as long CCM tayari imeishahodhiwa na wenye nazo. Siasa za CCM ya sasa ni pesa kama huna, huna chako.
Ila hoja hii, inaweza kuwa na mashiko kama ni kweli CCM iko serious na mageuzi yake ya kujivua gamba, ili ibaki CCM safi ya watu waadilifu na kuwaruhusu wenye nazo, wakajiendeshee zao maisha yao mbali na CCM ile ya Nyerere.
Kwa vile wewe ni member humu, nakusihi sana jitahidi ujitokeze hivi japo mara moja moja ili angalau ukitetee chama chako kwenye hoja za msingi, badala ya kukaa mbali na kuacha uwongo ukirudiwa rudiwa mpaka mwisho wake unaonekana ndio ukweli.
Karibu tena.
Pasco.
Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..
A lot of us are politically blind and usually end up joining the band wagon and reducing our political relevance.I guess you do not understand the political economy. Business and politics are intertwined. However, more money equals more power. This is common throughout the world.Let us put mechanism in place to ensure the interest of the mass prevailsMoral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..
Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..
Haaa! You are a Politician mkuu wangu ndio maana umepewa wadhifa huo. Business huiwezi unless business yenyewe ihusiane na Politics. Moja ya malengo ya chama CCM (a specific end) is to win elections by any means necessary!..That is your business!Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..
Wafanya biashara lazima wafanye siasa .... huwezi kuwanyima haki yao ya kikatiba ..... Tanzania hatujitambui kwa sasa lakini Tnzania is now a full capitalist country ... there is a big gap between those who have and those who dont have
kinachotakiwa kutenganishwa hapa ni wafanyabiashara na uongozi wa umma tena katika level ya juu ya mhimili wa executive
nape jitahidi sana kufikiri kwa kina na kutafakari kabla hujaleta hoja humu jamvini
Nape ur a square peg in a round hole! Toka CCM!
Atoke CCM aende wapi? Akihamia chama kingine nini kitabadilika? He will still be Nape with same morals and ethics. Labda aachane kabisa na siasa may be sio area yake hiyo.
Nape anakuja na hoja za kuangalizia. Hana fikra pevu zitokazo kichwani mwake ndio sababu anaropoka ropoka kama babu yake Makamba.Wafanya biashara lazima wafanye siasa .... huwezi kuwanyima haki yao ya kikatiba ..... Tanzania hatujitambui kwa sasa lakini Tnzania is now a full capitalist country ... there is a big gap between those who have and those who dont have