Bus/coach builders in tanzania

Homer

Member
May 26, 2011
99
22
Marafiki,

Tafadhali tusaidiane contact details za makampuni wanayotengeza mabasi (coach/bus body builders) na bei zao/ushauri. Nataka kulinganisha ipi nafuu kati ya kununua injini na kujengea bus Dar au kununua Marcopolo zima zima likiwa tayari (price range 50m-100m TShs).

Natangulisa Asante!
 
cpo dip sana ila nawajua quality group tu kampuni ya manji ndo naona wanafanya hayo mambo.
 
cpo dip sana ila nawajua quality group tu kampuni ya manji ndo naona wanafanya hayo mambo.

Thanks. Nimeangalia kwenye Website yao haina detail sana. Haisemi chochote kuhusu bus building - sana sana ni dealers wa Honda, Isuzu na Iran tractors. Ukipata zaidi tusaidiane tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom