Marafiki,
Tafadhali tusaidiane contact details za makampuni wanayotengeza mabasi (coach/bus body builders) na bei zao/ushauri. Nataka kulinganisha ipi nafuu kati ya kununua injini na kujengea bus Dar au kununua Marcopolo zima zima likiwa tayari (price range 50m-100m TShs).
Natangulisa Asante!