Burundi yatuma kikosi cha waokoaji Uturuki, nimejifunza kutoa ni moyo

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Moja ya mawaziri wanaoamliwa mambo ya wizara na makatibu wa Ikulu ni huyu mama kule jeshini walisema ni mpole sana huku zamani tuliambiwa Wizara ya Ulinzi inafaa wapole. Kule SADC nguvu ya Kabudi ndio ilimbeba alipotoka mama Tax abakia mweupe kabisa, ishu za peace keepers nje ya nchi na hasa Southern Corridor ilimshinda kabisa.

Kifo cha balozi Mushi pale Msata na sakata la DG wa TISS kutumbuliwa kwa kukuvimbia kifua labda alikuwa sahihi kuwa uwezo wako ni mdogo sana huwezi kupambana na ulimwengu wa sasa wa mikiki ya Ukraine, Urusi na usalama wa kikanda.

Haya sasa leo Burundi wanatuma waokoaji Uturuki sisi tupo tupo tu, hata kauli ya kitaifa hakuna na sisi na Waturuki tuko poa kuliko Burundi mandege yapo tu vijana wapoJWTZ, TISS, zimamoto, uhamiaji, KMKMA magereza na migambo.

USSR

=====

Bujumbura. Kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lilioikumba nchi za Syria na Uturuki lililosababisha vifo vya watu zaidi ya 28,000 na uharibifu mkubwa, Serikali ya Burundi imeamua kutuma timu ya watu 10 kwenda kusaidia uokoaji.

Hii imekuja kama hatua ya mshikamano na watu wa Uturuki waliokumbwa na matetemeko makubwa ya ardhi tangu Jumatatu na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha.

"Wakati wa kuwasili, timu itatumwa na mamlaka ya Uturuki katika maeneo ambayo wanaihitaji zaidi," amesema Albert Shingiro, waziri wa mambo ya nje wa Burundi ameliambia shirika la habari la BBC siku ya Jumapili.

Shingiro amesema,“hakuna raia wa Burundi aliyeathiriwa, na Sabria Samir Kaze ambaye alikuwa katika mji wa Gaziantep, uliokumbwa vibaya na tetemeko la kwanza alihamishwa hadi Ankara.”

Burundi haikutuma waokoaji Syria kwa sababu ni vigumu kufikia maeneo yaliyoathiriwa hata hivyo, serikali inasema inawahurumia watu wanaoteseka huko nchini Syria.

Mwananchi

FB_IMG_1676201293242.jpg
FB_IMG_1676201301397.jpg
 
Moja ya mawaziri wanaoamliwa mambo ya wizara na makatibu wa ikulu ni huyu mama kule jeshini walisema ni mpole sana huku zamani tuliambiwa wizara ya ulinzi inafaa wapole, kule SADC nguvu ya kabudi ndio ilimbeba alipotoka mama Tax abakia mweupe kabisa ishu za peace keepers nje ya nchi na hasa southern corridor ilimshinda kabisa .

Kifo cha balozi Mushi pale msata na sakata la DG wa TISS kutumbuliwa kwa kukuvimbia kifua labda alikuwa sahihi kuwa uwezo wako ni mdogo sana huwezi kupambana na ulimwengu wa sasa wa mikiki ya Ukraine, urusi na usalama wa kikanda

Haya sasa leo Burundi wanatuma waokoaji Uturuki sisi tupo tupo tu ,hata kauli ya kitaifa hakuna na sisi na waturuki tuko poa kuliko Burundi mandege yapo tu vijana wapo jwtz, TISS, zimamoto,uhamiaji,KMKMA magereza na migambo.

USSR View attachment 2514887View attachment 2514888
Kama kawaida; wewe utakuwa na ajenda yako pembeni.

Ni mtu unayejulikana kuwa wa hovyo hovyo tu hivi. Agenda kuu ni kujaza tumbo tu basi.

Kwa hiyo, kwa maoni yako hapa unataka tushindane na Burundi katika maswala kama hayo ndipo ujisikie vizuri?
 
Diplomasia ni mashindano Mzee

USSR
 
Ndayshimiye yuko smart mno, Ndio maana hao hao Burundi wamejenga kiwanda kikubwa cha mbolea Dodoma, na watauza Mbolea Tanzania, Kenya, Zambia , Malawi, Msumbiji, Dodoma wametaka urahisi wa usambazaji wa mbolea yao, watu kiakili wako mbele zaidi
 
Hata ameweza kumaliza ugomvi na RWANDA pia ,wako vizuri na congo pia ,kiufupi yuko poa

USSR
 
Wewe ni kiazi mbatata,kuokoa wafu ni upumbavu '

USSR
Mi sina wasiwasi juu yako, kwa sababu ninakufahamu kwa michango yako siku zote humu ndani. Kwa hiyo sina haja ya kueleza chochote kukuhusu wewe.
 
Tanzania vikosi vya uokoaji/askari wanaoweza kufanya uokoaji?

Hawa hawa we nye vitambi na walioshindwa kuokoa watu kwenye ghorofa la Kariakoo na ajali ya ndege ya precision??
 
Moja ya mawaziri wanaoamliwa mambo ya wizara na makatibu wa ikulu ni huyu mama kule jeshini walisema ni mpole sana huku zamani tuliambiwa wizara ya ulinzi inafaa wapole, kule SADC nguvu ya kabudi ndio ilimbeba alipotoka mama Tax abakia mweupe kabisa ishu za peace keepers nje ya nchi na hasa southern corridor ilimshinda kabisa .

Kifo cha balozi Mushi pale msata na sakata la DG wa TISS kutumbuliwa kwa kukuvimbia kifua labda alikuwa sahihi kuwa uwezo wako ni mdogo sana huwezi kupambana na ulimwengu wa sasa wa mikiki ya Ukraine, urusi na usalama wa kikanda

Haya sasa leo Burundi wanatuma waokoaji Uturuki sisi tupo tupo tu ,hata kauli ya kitaifa hakuna na sisi na waturuki tuko poa kuliko Burundi mandege yapo tu vijana wapo jwtz, TISS, zimamoto,uhamiaji,KMKMA magereza na migambo.

USSR View attachment 2514887View attachment 2514888

Twende Uturuki kwa lipi la maana?
 
Si wangempeleka hata "WAITU" jamani maana anambinu kuliko hata waliosomea. Mwisho wa siku $ za UN Tungezikomba.
 
Moja ya mawaziri wanaoamliwa mambo ya wizara na makatibu wa Ikulu ni huyu mama kule jeshini walisema ni mpole sana huku zamani tuliambiwa Wizara ya Ulinzi inafaa wapole. Kule SADC nguvu ya Kabudi ndio ilimbeba alipotoka mama Tax abakia mweupe kabisa, ishu za peace keepers nje ya nchi na hasa Southern Corridor ilimshinda kabisa.

Kifo cha balozi Mushi pale Msata na sakata la DG wa TISS kutumbuliwa kwa kukuvimbia kifua labda alikuwa sahihi kuwa uwezo wako ni mdogo sana huwezi kupambana na ulimwengu wa sasa wa mikiki ya Ukraine, Urusi na usalama wa kikanda.

Haya sasa leo Burundi wanatuma waokoaji Uturuki sisi tupo tupo tu, hata kauli ya kitaifa hakuna na sisi na Waturuki tuko poa kuliko Burundi mandege yapo tu vijana wapoJWTZ, TISS, zimamoto, uhamiaji, KMKMA magereza na migambo.

USSR View attachment 2514887View attachment 2514888
we akili yako kweli imechoka huna cha maana unachoweza kuchangia nchi hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom