Mwanandani
Senior Member
- Apr 5, 2012
- 195
- 44
Werema pia tuna kuweka kwenye oroza,hutabaki salama pindi tutakapo fanya mapindizi.
Ni sawa kabisa na tatazo la Chadema la kupinga kila kitu kinachofanywa na CCM hata kama ni kizuri wao hupingaTatizo la CCM ndiyo hilo KUPINGA kila Hoja inayoletwa WAPINZANI. Hiyo MINDSET ndiyo inamtesa leo Spika Anne Makinda juzi alipokataa hoja Hamad Rashid.
Even my STD I hero knows that Tundu Lissu is clever than Werema
hii ni kauli ya mwanasheria mkuu bungeni kwa tundu lissu.
Kauli hii imepelekea lissu na wabunge wengine wa cdm kutoka nje ya bunge.
Naibu spika amepinga mwanasheria mkuu hajasema hivyo, na wabunge wa ccm wanapiga makele wakidai lissu hakumsikia mwanasheria mkuu vizuri.
Tutafuka?
Alicho sema lugha ya kuudhi ni kipi ? kwani mbona vichaa wana nywele ila akili hawana ? kuwa mwelewa na pole kwa kutetea mpaka povu la mdomo linakutoka
Nilikuwa naangalia bunge wakati mwanasheria mkuu anamtetea spika juu ya uamuzi wake wa kukataa ombi la Tundu lissu kutoa hoja ya kuahirisha bunge ili kujadili ishu ya ajali ya meli. Kwa kweli kwa uelewa wangu mdogo sana wa mambo ya bunge na sheria pia ( mimi si mwana sheria wala mbunge) huyu AG wa serikali yetu sijui aliwezaje kuwa jaji na kuteuliwa pia kuwa AG. Anavyojibu alivyokuwa anaongea ni wazi kabisa inaonesha hajui kanuni na pia anachokiongea na kuishia na kutoa lugha ya kuudhi wabunge wengine hasa mtoa hoja. AG ni mtu mkubwa sana sikutegemea anaweza kuwa hivyo.
Yanafanyika lini hayo mapinduzi? ni ww na familia yako ndio mtahusika au na wakina nani ? nani atawekwa baada ya mapinduzi? jibu kwanza hapo ndipo ntatoa majibu yanguWerema pia tuna kuweka kwenye oroza,hutabaki salama pindi tutakapo fanya mapindizi.
Baraza la wawakilishi lenyewe halijajadili hoja ya ajali, nyie bunge la muungano ndio mnajifanya mnajua sana kuliko wale wenye msiba wenyewe
Mbona unatokwa na mapovu kwa kumtetea mwanaume mwenzako ? kulikoni ?
Hivi kuna mtu aliyekuomba utoe majibu??Yanafanyika lini hayo mapinduzi? ni ww na familia yako ndio mtahusika au na wakina nani ? nani atawekwa baada ya mapinduzi? jibu kwanza hapo ndipo ntatoa majibu yangu
Lissu anawachokonoa nao wanalipuka Alijua tu hawawezi kukubali ila taarifa itakuwa imeenda kwa watanzania wote kwamba kwa mara ya pili imekataliwa. Chuki kwa wazanzibari inazidi.
Mkuu mpita njia kuna sababu lukuki:Baada ya kushuhudia malumbano hayo, sasa nimeamini, poasi na shaka kabisa kuwa serikali yetu ni mwoga mkubwa wa hoja.
Hivi kuna ubaya gani kulijadili suala hili? tena, katika mjadala serikali ingepata mawazo mazuri kutoka kwa wabunge jinsi ya kushughulikia masuala haya
Mwanasheria katoa maneno ya kutukana kuwa kuwa na nywele siyo maana kuwa umaweza kufikiri...huyu jamaa ni hopeless