Wanitakiani
JF-Expert Member
- Apr 18, 2008
- 641
- 135
Ww kweli hujui kanuni za bunge, inapotolewa hoja na mbunge akimaliza wabunge wenzake wanatakiwa kusimama ndiko kunako one kana kuwa hoja imeungwa mkono na sio kwa spike kuhoji. Spika ana hoji hoja za kupitisha bajeti za wizara
Hiyo si justification! Kama suala lilikuwa ni wabunge wengine kuunga mkono hoja kwanini Ndugai hakumpa nafasi ili atoe hojayake? kwanini amekimbilia kuendelea na ratiba zingine? kama kweli serikali na Ndugai walikuwa na utashi wangetoa nafasi nyingine ili hoja hiyo iwasilishwe upya. Kwa kuwa hawakuwa na dhamira ya dhati ya kujadili jambo hilo ndio maana wamekauka. Hii ndio Tz bwana, ni zaidi ya ujuavyo! kama vile waliokufahawana haki ktk nchi hii, inasikitisha sana kuona jambo la dharura huu ndio wakati wake wa kujadili lkn linakataliwa. Kwao jambo la dharura ni lipi basi?