Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Jamani hivi umeme ulikatika au taa zilizimwa? wakati Mhe sugu akipiga kura ya kukataa Bajeti ya mwaka 2012/2013
 
wadau kuna kila dalili, ccm+shibuda wataibuka na ushindi wa kishindo dhidi ya wapinga maendeleo.

Namuona mbowe anatingisha kichwa kukiri kuburuzwa vibaya sana na ccm, zitto anatabasamu, mnyika amejikunyata akiwa na mawazo sana nafikili anajutia aliyoyasema dhidi ya rais maana hakuna hata tatizo moja la jimboni mwake ubungo lililogusiwa na serikali.

jifunze kwanza lugha sanifu hakuna neno la kiswahili linaloitwa rais
 
Spika: Kuna haja ya kucomputerize mfumo wa kupiga kura. Anasema watalifanyia kazi.
357 wabunge wote.
351 waliotakiwa kupiga kura
absent 54
297 wamepiga
hapana 72
ndio 225

BAJETI IMEPITA.
 
Wadau kuna kila dalili, CCM+Shibuda wataibuka na ushindi wa kishindo dhidi ya wapinga maendeleo.

Namuona mbowe anatingisha kichwa kukiri kuburuzwa vibaya sana na CCM, zitto anatabasamu, mnyika amejikunyata akiwa na mawazo sana nafikili anajutia aliyoyasema dhidi ya rais maana hakuna hata tatizo moja la jimboni mwake ubungo lililogusiwa na serikali.
inabidi uwaonee huruma watanzania wenzako na siyo Mbowe ambae anauwezo wa kukulisha wewe pamoja na mama yako, baba yako na wajukuu zako kwa hiyo kushindwa kwa CDM ni kilio kwa walala hoi.....
 
Spika: Kuna haja ya kucomputerize mfumo wa kupiga kura. Anasema watalifanyia kazi.
357 wabunge wote.
351 waliotakiwa kupiga kura
absent 54
297 wamepiga
hapana 72
ndio 225

BAJETI IMEPITA.
hii ni aibu sana hapo kwenye red...
 
Back
Top Bottom