Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Hawa DHAIFU wamekataa kushusha PAYE????????

Kwa nini lakini serikali haikai na kuweka mipango itakayowaletea hela zaidi ya kutunyang'anya hata hiki kidogo tulichonacho? Kwa kweli imeniuma sana hadi machozi yamenitoka bila kujijua. I HATE THIS SERIKALI KUTOKA CHINI YA MOYO WANGU, huwa najitahidi sana kukwepa kodi ktk manunuzi ya bidhaa mbalimbali lakini huwa najisikia kuiibia serikali kwa ndani.

Lakini leo, natangaza rasmi, as long as ninajua sehemu ambayo nitanunua bidhaa bila kukatwa kodi, nitaenda huko, sina moyo kabisa wa kutoa kodi zaidi ya hii ninayokatwa ktk salary yangu, hivi kwa nini sisi tu wafanya kazi? au ni kwasababu hela yetu haina shida ya kuikusanya zaidi inaletwa yenyewe na accountants wetu?

Serikali, msinione mbaya kama noma na iwe noma, hamnijali na mimi sitoijali serikali, sitotoa kodi hiyo PAYE mnayonichukulia inatosha.
Mkuu jitahidi utoe na siri za mkurungezi anavyofuja kodi zetu siyo kukwepa kulipa tu kodi ambapo matokeo yake unayajua ni pamoja na vijana wetu kukosa mikopo ya elimu.
 
Back
Top Bottom