Bungeni: Huyu mwenyekiti vipi?

hivi wana jamvi naomba kujuzwa.ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wenyeviti wa bunge?huyu wa leo naona kama sanamu tu,sijamuelewa wala hata dalili ndogo tu za uongozi naona amezikosa!
 
mwenye kiti nadhani alipata mionzi kabla hajaingia bunge.bunge kama kko sokoni sijui tunaelekea wapi?
 
kwa kweli kwa aina hii ya mwenyekiti wa bunge jioni hii, ni bora bonge liishie hapa kodi zetu angalau zikanunue mashine za x-ray
 
Anawambia wasitumie Lugha za Matusi...lakini yeye anasema "KAA CHINI UNAWASHWAWASHWANINI"......Ukereketwa noma
 
Back
Top Bottom