Bungeni: Huyu mwenyekiti vipi?

Ama kweli kuna watu na viatu huyu m/kiti ni kiatu na Mwigulu ni ziro. hivi kutetea kudai haki nikuchochea mgomo? tafasiri ya mwigulu

Kakiuka kanuni,katukana kwamba "wabunge wanataka umaarufu" tena karudia eti "mnyika anawashwa"...toka lini mzenji akawa spika.

Nilisema na ninasema tena ccm wamechoka kuongoza nchi hii, mwenyekiti anakimbia!

Wanajamvi huyu Mwenyekiti wa Bunge wa Kipindi cha jioni ananichefua sanaaaaa! Natilia shaka uwezo wake wa kitaaluma na hata upeo wake. Naye ni dhaifu tu au Mzembe?? Naomba mwenye CV yake atuwekee angalau tujiridhishe. Hana tofauti na Naibu Spika huyu

tembelea HAPA

Khaa mwenyekiti anatia kichefuchefu..anamwambia mbuge akae chini kwani 'unawashwa nini' :wacko:

Mwenyekiti wa leo ni mbunge wa wapi, mbona simfahamu jamani, ila ni zaidi ya kichefuchefu.

Huyu jamaa ni sawa na makalio ya kichina ni chukizo na ualibifu kwa watanzania, ni aibu kwa watu sijui likoje hili li MTU shme on him and stupid with Chemba Mwigulu likifumuka tu ni harufu nchi nzima sijui ni kwa nini hili chemba alioni aibu silipendi bora UKIMWI kuliko MCHEMBA

Tukiwa na mwenyekiti wa bunge ama Spika kama huyo ni uozo. Siku moja nikiwa Nairobi nilitazama bunge la Kenya katika Tv jamani yule Spika ni makini. Yeye mwenyewe ana uweza mkubwa wa kuanalize issues. Samwel Sita rudi kwenye Usipika!!!!!!!!

du....amwambia mnyika kaaa chini au "unawashwa" wacha kutaka umaarufu

Wanajamvi huyu Mwenyekiti wa Bunge wa Kipindi cha jioni ananichefua sanaaaaa! Natilia shaka uwezo wake wa kitaaluma na hata upeo wake. Naye ni dhaifu tu au Mzembe?? Naomba mwenye CV yake atuwekee angalau tujiridhishe. Hana tofauti na Naibu Spika huyu

Kwa kauli hii, inaonyesha kwamba Speaker ni better kuliko manaibu na wenyeviti wake si ndivyo? It sounds nice, maana siku zote huwa najua Speaker ni mmoja wa vilaza wa kutupwa.

Back
Top Bottom