Siku kama tatu/nne hivi zilizopita, katibu wa bunge alinukuliwa na vyombo vya habari (TBC1-8PM news bulletin) akisema kuwa maandalizi ya kikao cha bunge yamekamilika na kila kitu kiko sawa! Na alienda mbele zaidi kwa kutaja mambo makubwa yatakayojadiliwa kwenye hiki kikao. Sasa iweje leo wasema ratiba haijakamilika? Kwa vyovyote vile spika atakuwa na mapungufu makubwa katika 'management'. Haiwezekani awe na team inayolipwa mishahara kila mwezi lakini washindwe kufanya maandalizi ya kikao cha bunge kwa wakati! Ni tatizo gani hilio lililoshindikana kutatuliwa wakati wa maandalizi?
Bunge lenyewe linakutana mara chache kwa mwaka sio kama mabunge ya nchi zingine ambao huwa na vikao almost all year round expect miezi mitatu!
Bunge lenyewe linakutana mara chache kwa mwaka sio kama mabunge ya nchi zingine ambao huwa na vikao almost all year round expect miezi mitatu!