Bunge ni shaghalabagala kwasasa...

Au hela yote ya posho imemalizwa kwenye vikao vya kamati za bunge?
 
Tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania ni mara ya kwanza kwa bunge kuongozwa bila ratiba....jana kikao kimeanza spika akahairisha bunge baada ya maswali na majibu ili kutoa nafasi ya kupanga ratiba..leo kikao kinaendelea na kuna dalili ya ratiba kutojulikana kinaendelea nini baada ya maswali na majibu.Bila kuficha hii ni dalili mbaya kwa bunge na nchi kwasasa,nchi inakwenda shaghalabagala na hakuna anayestuka,na viongozi wetu wanaona mambo ni sawa tu...na wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanadai ni dalili mbaya kwa bunge kukosa ratiba maalumu.

Serikali iko bize na mtoto wa malkia. Akiisha ondoka, Serikali itashughulikia watuhumiwa wa Arusha kisha ndo ratiba itashughulikiwa. Kwa sasa wabunge wameenda mapumzikoni Dodoma,

Quality
 
TV yangu haioneshi bunge now.. Au washaahirisha? Kweli gov imefilisika
 
limeshaanza kuniboa wanahairisha bila mpango halafu huyu mama anahairisha kumpa mumewe chakula cha ucku na huku ni sawasawa
 
Ratiba ipo ila wanaona aibu kuitaja kwani haina vipaumbele vya mambo waliyotarajiwa kujadiliwa kikao hichi.watajuta mwaka huu
 
Mbali ya Muswada wa Katiba mpya na mambo ya Jairo/Luhanjo, huenda burning issues zingine ambazo serikali haijazipatia majibu. Mfano watumishi wa serikali kukatwakatwa hovyo mishahara yao. Huwezi jua kama wagonjwa walioko India labda nao ni ishu nyingine.
 
Nchi inakwenda shaghalabagala na hakuna anayestuka, na viongozi wetu wanaona mambo ni sawa tu...na wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanadai ni dalili mbaya kwa bunge kukosa ratiba maalumu.

Wataalamu walisema nchi iko kwenye auto pilot, hizi ni baadhi ya dalili ambazo chanzo chake ni urafiki, ujamaa, kulindana, mwenzetu, maslahi binafsi etc
 
unategemea nini kwenye nchi ya rais mtalii? wiki hi ana raha sana maana ametembelewa na anaowafuata kila siku huko nje.
 
Kuna Mambo ambayo wanataka wayamalize juu kwa juu...Mambo ya kina Jairo wasichakachue tuu....Mambo yawe bayana
 
Ratiba inapangwa kwa pamoja kwa ushirikiano na kambi ya upinzani ( kamati ya uongozi ) au wamegoma kuwasaidia wenzao ????
 
The failing and collapsed Nation-State under cisiemu.Bora iwe hivyo tupate nafasi ya kurudisha taifa letu TANGANYIKA.
 
Back
Top Bottom