amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 907
hahahaa lol!!? mheshimiwa haututendei haki sisi wa sio
Haki utaikuta mbinguni hapa ni ubabe tu.
hahahaa lol!!? mheshimiwa haututendei haki sisi wa sio
Mheshimiwa haujasomeka vizuri. Hebu fafanua zaidi ikae vizuri kwenye hansard kwa ajili ya kumbukumbu.:a s 100::a s 100:
kumbe kiongozi wa upinzani anakabila bandia!!!! Mh! sisiemu mna mambo....!
Mbona halina tofauti na la pale mjengoni kwa Jobuuuuu Ndugaiiiiiiiii!Ahahahah aise kaaazi kwelikweli hili bunge lenu sijui ni la vichochoro vya wapi,,,, utasema mpo kariakoo, kila mtu na lake
:confused2::confused2:
waheshimiwa muwe na adabu hapa sio kariakoo
Sitaki mwongozo wowote saivi mmezoea kuchezea kiti.
ahaaaaaaaaaaaa amenipiga teke la shavu si kubali najirudishia!!!kaa chini, asikali jiandaeni
Dunia inazunguka, sisi tumesimama. Ukoloni umetujaa kila sector. Sheria za kikoloni ndo zinatumika badoHeshma kwenu wanajamvi,Wote tunafahamu kuwa bunge ni moja ya mhimili muhmu wa serikali,kwa kuwa hujadili muswada na hatimae kuptisha kuwa sheria,ambayo hutekelezwa na mahakama baada ya kuptishwa na serikali kuu,na mambo mengne meng muhmu hujadiliwa na bunge ikiwemo yale ya dharula n.kbaada ya kusema hayo niende moja kwa moja katika mada,katika dunia ya teknolojia ya sasa hv inawezekanaje tukawa tunautaratibu wa kuptisha mambo mazito yanayotikisa nch katika hali ya mzaha wa hali ya juu bungen,hv kweli wabunge wetu na watanzania kwa ujumla hatuoni kuna haja ya kubadilisha mfumo wa bunge wa kuptisha hoja uliopo hv sasa? kwamba 'wanaokubali waseme ndio na wanaokataa waseme sio',mfumo huu unampa mamalaka yaliyopitiliza spika wa bunge kuamua ama hoja ipite/iungwe mkono au la kwa mujibu ya matakwa yake Kwa sababu wanaosema ndio wanaweza wakawa wengi na yeye akasema waliosema sio wapo weng/ wameshnda,ikumbukwe spika Wa bunge kazi yake ni kuliongoza bunge na sio kufanya maamuzi kwa niaba ya wabunge MY TAKEbunge letu linatajwa kuwa ni miongoni mwa mabunge yaliyojengwa kisasa pendekezo langu katika kila meza ya mbunge pawepo na button na mbele kbs ya bunge pawepo na dashboard ambayo mbunge akiibonyeza hyo button itacount na kudisplay kwenye hyo board maalum itakayokuwa inadisplay upande wa mbele kabisa ,kwa hali hii tutapata exactly figure ya wabunge ambao wamesema ndio ama sio juu ya jambo au hoja inayojadiliwa bungen kwa wakati huo. Nahs tukifanya hv tutakuwa tunatekeleza demokrasia .ya kweli lakin sio katika system iliyopo sasa hv mamlaka yote ya kuamua upande upi umeshnda waliosema ndio au sio anayo spika wa bungeNaomba kuwasilisha