Bunge letu na kura za mayowe 'NDIYO' 'SIYO'

hutak vp mwongozo?mbona ccm unawapa fursa?ndo maana sura mbaya kama dadayako ane makinda,nenda kaongoze kijijin kwenu ndo elimu yako ---- weye
 
hutak vp mwongozo?mbona ccm unawapa fursa?ndo maana sura mbaya kama dadayako ane makinda,nenda kaongoze kijijin kwenu ndo elimu yako ---- weye

Si unajua hapa situmii kanuni tu ila nachanganya na maelekezo ya Chama Chetu Maarufu wasije wakaniona msaliti nikiwapa miongozo mingi mtatushinda. Halafu tutashindwa kupitisha mambo yetu.
 
Mh. Spika naomba onduru ogy atolewe nje kwa kunidhihaki
Jamani waheshimiwa, wananchi wanawaangalieni msitumie maneno mbofumbofu watawashangaa. Kwa mamlaka niliyo nayo nawaomba mfute kauli zenu ndani ya dakika tano lasivyo naita askari wawatoe nje kwa mitama na mateke. Si mnanijua lakini.
 
naomba mwongozo mheshimiwa spika huu ni uonevu....hatoki mtu hapa fungeni milango tuzichape humu humu
 
Back
Top Bottom