ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 4,977
- 6,973
Mheshimiwa zito kabwe mwenyekiti wa kamati ya POAC, amewasha moto kwa kueleza kuwa kuanzia kesho wabunge watakusanya sahihi sabini kwa ajili ya kuwasilisha muswada bungeni jumatatu ili kumng'oa waziri mkuu kutokana na madudu yaliyofanywa na mawaziri walio chini yake.