Bunge lawaka moto

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,956
6,948
Mheshimiwa zito kabwe mwenyekiti wa kamati ya POAC, amewasha moto kwa kueleza kuwa kuanzia kesho wabunge watakusanya sahihi sabini kwa ajili ya kuwasilisha muswada bungeni jumatatu ili kumng'oa waziri mkuu kutokana na madudu yaliyofanywa na mawaziri walio chini yake.
 
kum...Lusinde zake serikali yetu hiii,tumeshaongeaaaaa saaaana,mi nadhani tuanze KUKITANDAHIMBA nchi nzima labda ndo wataelewa magamba hawa
 
Back
Top Bottom