TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,965
- 23,225
Yule akilipwa 13 peke yake ushahidi utaupata wapi?Chadema wana Mbunge wao mmoja bungeni. Amuombe atoe payslip yake hadharani.
Yule akilipwa 13 peke yake ushahidi utaupata wapi?Chadema wana Mbunge wao mmoja bungeni. Amuombe atoe payslip yake hadharani.
Wewe weka uthibitisho wa nyaraka kuwa mbunge wako hajaongezewa mshahara!Acha upoyoyo,mzee Mbowe aweke nyaraka za kuthibitisha alichoropoka ,vinginevyo anakaribia kuingia kwenye kundi la lema na mdude