el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,033
Hamna kitu kibaya kama wanachi kupoteza imani tena kwny masuala muhimu ya kitaifa kama mchakato wa katiba,
Miezi kadhaa kidogo wananchi walianza kufuatilia mchakato wa upatikanaji wa katiba pia hata muitikio wao pamoja na vyombo vya habari ulikuwa mkubwa...
hivi sasa watu kibao wameshalipotezea Bunge la katiba kwa maamuzi yake ya kufanya mambo ya ajabu kama kukusanya maoni tena, kufuta kabisa baadhi ya vitu kwnye rasimu, hakika hizi hasira za wananchi zitawarudia kwny uchaguzi mkuu maana hizi pesa zinachezewa burebure tuu hebu tusuburie majibu ya kwnye refferendum