Zzzz! Zzzz! Mh. Microphone, mie bado nasinzia muda wa posho ukitimia niamshe pliz, zzzz!
muongoza!
Muheshimiwa spika naomba kuuliza swali moja lenye vipengere "A"B" na C" kama ifuatavyo.
A"jee bunge lako linatoa kauli gani kwa hawa wachangia mada wenye maneno makari?
B"ni utaratibu gani unaotumika kwa wana JF kukutana na kupanga mikakati ya kupambana na umasikini hasa vijijini?
C"jee serikari inafanya juhudi gani kulinusuru taifa na janga kubwa la njaa,ukizingatia kwamba kuna wingu lilikua limetanda hapa dar kama dk 20zilizopita lakini sasa limesambaa na kuzidi kutishia amani kwa ukame?
Teh teh teh!kwa niaba ya waziri muhusika naomba nijibu kipngele c kuhusu njaa na wingu .
kukabiliana na njaa serikali inajenga viwanja vya ndege vya kmataifa mikoa nyanda za juu kusikini yenyechakula kingi . Viwanja hivi vitasaidia kusafirisha chakula kwa haraka kuliko barabara kwenda kwenye mikoa ya njaa.
Kuhusu wingu zito la dar naona hali hii itabidi tuagize rada nyingine ya kisasa itayoweza kuhabarisha habari za maingu .Hivi sasa wataaalma wa hali ya hewa bado wanatafuta majibu.
Teh teh teh!
nashuru Muheshimiwa spika kwa kunipa majibu mazuri sana na yenye moyo wa huruma kwa wananchi wa jimbo langu ambao kipato chao ni chini ya shillings 400 kwa siku,
Jee kutokana na majibu yake mazuri sasa jee ni lini mpango huu wa rada ya kucheki hali ya hewa utaagizwa?
Hahahahaaaa!kwa niaba ya waziri muhusika naomba nijibu kipngele c kuhusu njaa na wingu .
kukabiliana na njaa serikali inajenga viwanja vya ndege vya kmataifa mikoa nyanda za juu kusikini yenyechakula kingi . Viwanja hivi vitasaidia kusafirisha chakula kwa haraka kuliko barabara kwenda kwenye mikoa ya njaa.
Kuhusu wingu zito la dar naona hali hii itabidi tuagize rada nyingine ya kisasa itayoweza kuhabarisha habari za maingu .Hivi sasa wataaalma wa hali ya hewa bado wanatafuta majibu.
Mheshiwa naibu,majibu!
loh! Hili bunge limenikamata haswa, nimeshidwa kuzima tv iliniendelee na shughuli nyingine......bado nafuatilia kikao hiki cha bunge la jamii kwa umakini mkubwa