CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
muheshimiwa spika,kwa niaba ya waziri husika,napenda kujibu swali dogo la nyongeza la muheshimiwa dudu jeusi kama ifuatavyo.
Namuomba muheshimiwa dudu jeusi awe mvumilivu,maana bado tunatafuta muwekezaji na tayari tumepata na tunafanya mazungumzo na co 1 toka nchini uswis,ambayo iko tayari kuwekeza kwenye hilo,
bado tunajadiri mapendekezo na masharti yake ili tuweze kuliweka wazi suala hilo.
Muheshimiwa DUDU JEUSI swali la mwisho dogo la nyongeza.