Bunge la jamii forum linarejea

Mtabe

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
675
96
Wah. Wabunge kikao kinarejea tunaendelea pale tulipoishia jana, kwako mh. Liverpool
 
Nashindwa kuelewa hawa wabunge mpaka sasa hivi hawapo mjengoni sijui ni kwanini?
 
mweshimiwa microphone mimi jimboni kwangu kuna uhaba mkubwa wa wa walimu na mweshimiwa Rahisi ametowa maelekezo ya 'ku manufacturing of teachers', sijui mweshimiwa waziri wa ujinga anaweza Kutoa kauli gani akizingatia kauli ya Rahisi. Je walimu hao watakuwa tayari lini? Na je gharama za maufacturing of teachers, zimezingatia kutowa ubora unaokusudiwa? Mweshimiwa naomba kukaa!
 
Ndg spika kwakua nchi yetu bado ina uhaba wa madaktari, nainavyo onekana kwa sasa, wengi wa madaktari wetu wamekata tamaa na wanaendelea kwenda nje ya nchi kufanyakazi huko. Nini msimamo wa serikali ktk hili?
 
mheshimwa spika kwanza nomba niseme hiki kikako cha leo its so funny and entertaining but message can be and sent and delivered kwa chit chat.

Mimi mbunge wa mwisho wa reli jimboni kwangu ndio tajiri na ndio mtumishi wa umma nayepokea mshahara mkubwa.Sasa hivi ninatoa msaada kwa kusomesha watoto ishirini (20) wasiojiweza.

Sasa naomba kumuuliza maswali matatu mheshimiwa Dr, Prf, waziri na alhaj au mlokole XYZ

  • Serikali inaonaje sisi waheshimwa sana wabunge tukifariki basi Serikali kuu kupitia wizara ya misiba na itifaki ya viongozi ilirithi madeni na misaada yote tunayotoa wanasiasa ili waliosadiiwa wasirudi kwenye maumivu.?
  • kwa kuwa jimbo langu lamimi ndiyo mwenye VX binafsi pekee serikali inaonaje ikianzisha japo ka-mradi ambapo meneja atalipwa japo milioni 5 kwa mwezi na awe kutoka jimbon kwangu mwisho wa reli ili na yeye tusaidiane mzigo wa kuwasaidi wasiojiweza.?
  • kwa kuwa kipindi cha wakimbizi wa nchi jirani maisha kwa wananchi na kipato cha jimbo langu yalikuwa bora .je Serikali inaonaje ikichochea vurugu nchi jirani ili wakimbizi wawe catalyst ya kuboresha maisha ya watu na kupata misaada kutoka nje na mashirika ya kimaitafita ya misaada kuja jimboni kwangu....?
mheshimiwa naomba majibu
 
swali la nyongeza
kwa kuwa hizi VX tulizkopwa nazo kipindi cha mvua zinakwama tukiwa majimboni kwenye matope je ili tuwafkie wananchi kwenye barabarza zisozopitika serikali inaonaje nee kila mbunge zaidi ya VX akinuuliwa gari nyingine inayweza haita 2kuogelea"

Naomba serikali itenge fungu kila mbunge akopeshwe gari ya marouder kama zinavyonekana hapa chini . Na hizi gari zinatengenzwa na jirani yetu afrika kusini.
 
Last edited by a moderator:
Mh. spika ninaomba nilipwe posho ya leo kabla ya kikao kumalizika ili niwahi jimboni kwangu nasikia madaktari wamegoma na wamefunga milango ya kuingia wodin hali si swari.
 
Mimi kama katibu wa bunge tunaomba tujadili mahusiano ya wabunge wa bunge la jamii forum kwa kujilimbikizia mademu ndani ya jf na nnje ya jf kuna wachache wamegundulika wanahusika na ufisadi wa kuwekeza mademu wengi kwenye account zao za facebool na twitter tena......wamekua wakisababisha watoto wasiende shule na kuhangaika na majibaba yenye familia zao naomba tuujadili huu muswaada wa bunge wa jf......mimi katibu wa bunge wa jf
 
Zzzz! Zzzz! Mh. Microphone, mie bado nasinzia muda wa posho ukitimia niamshe pliz, zzzz!
 
Back
Top Bottom