Bundi atua CUF: Prof. Lipumba, Sakaya, Mbunge wa Mtwara mjini na wengine wasimamishwa uanachama

Hatahivyo CUF wamechelewa sana.
Huyu tangu 2005 alitakiwa awe ametoka.

Lipu.. Atapongezwa na chama dola cause kaondoka na mbunge...

Ingekua cdm tim lumumba wangesema mbovu leo...

Mara sio demokrasia.. Na wangetoa pole kwa lipu..
 
Baada ya Spika kuandikiwa barua na CUF ndo ubunge wake utakuwa umefikia mwisho jimbo litakuwa wazi
Kama vitu hujui wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi kuliko kujifanya unajua wakati hujui kitu kuhusu masuala ya bunge.
 
lipumba kajitakia mwenyewe.nikikumbuka pindi lipumba mwaka jana akikimbia chama na kwenda kigali kwa kagame kula shavu sina hamu naye kamwe....hongereni cuf.
Sasa atajiunga na CCM, na utaona atakavyoteuliwa kushika wadhifa muhimu.
 
Cuf hawajijui tu lakini wenzao chadema wanania ya kukiua kabisa,wanagombanishwa na kufitinishwa kwa manufaa ya mtu Fulani tu lkn hawajijui,poleni cuf kwa kuvamia ngoma isiyokuhusu
 
Back
Top Bottom