haibreus
JF-Expert Member
- Oct 1, 2009
- 295
- 106
Me si wa Bukoba wala Moshi ila .....Bukoba kwa Moshi bado sana tena kilometa nyingi tu wanasubiri. Ila miaka michache ijayo Moshi itakuwa inasubiri kwa mikoa mingi sana sababu commercial activities Moshi ni kama zimesimama na nguvu kazi hakuna tena kama zamani yani ni kama mji uliokimbiwa wakati wa vita na maendeleo hakuna tena yani mji uko doroo. Nyerere alifanya kazi nzuri kutuunganisha Watanzania maana siku hizi kila kukicha ni ubinafsi ,ukanda ,ukabila n.k unatamalaki vinginevyo tungeshamalizana.Mimi ni mchaga ila bukoba wako vizuri sana