Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Mimi ni mchaga ila bukoba wako vizuri sana
Me si wa Bukoba wala Moshi ila .....Bukoba kwa Moshi bado sana tena kilometa nyingi tu wanasubiri. Ila miaka michache ijayo Moshi itakuwa inasubiri kwa mikoa mingi sana sababu commercial activities Moshi ni kama zimesimama na nguvu kazi hakuna tena kama zamani yani ni kama mji uliokimbiwa wakati wa vita na maendeleo hakuna tena yani mji uko doroo. Nyerere alifanya kazi nzuri kutuunganisha Watanzania maana siku hizi kila kukicha ni ubinafsi ,ukanda ,ukabila n.k unatamalaki vinginevyo tungeshamalizana.
 
Me si wa Bukoba wala Moshi ila .....Bukoba kwa Moshi bado sana tena kilometa nyingi tu wanasubiri. Ila miaka michache ijayo Moshi itakuwa inasubiri kwa mikoa mingi sana sababu commercial activities Moshi ni kama zimesimama na nguvu kazi hakuna tena kama zamani yani ni kama mji uliokimbiwa wakati wa vita na maendeleo hakuna tena yani mji uko doroo. Nyerere alifanya kazi nzuri kutuunganisha Watanzania maana siku hizi kila kukicha ni ubinafsi ,ukanda ,ukabila n.k unatamalaki vinginevyo tungeshamalizana.
Umelazimishwa kuongea mpaka uongee usivyovijua????
 
Huko kote nlienda ,bk padogo Hamna sehemu nlikacha.we Ni mbishi tu ,bk pakawaida tu ,radi zikianza Ni Hatare unatamani kurudi nyumbani mda huo huo.
Unafikiri moshi pakubwa radi vitu vya kawaida tena Leo mvua nyingi zilikuwe shida we mwoga
 
BK bado sana Mkuu ukiilinganisha na Moshi.............Moshi inaweza kujitawala kama free state na mambo yakawa shwari lakini siyo BK.
Bk mbona inajitawala wala haitegemei serikali mpaka wanafikiri ni ug serikali ilipatelekeza zamani ila bado imesimama pamoja na majanga yote vita,tetemeko, MV bk,mnyauko,mabomu,bado ipo kama uionavyo mpaka sasa huwezi ukaudifaini mji sio Wa kibiashara,kitalii,kiofisi nk IPO potepote unakuta bk ina hotel moshi kadri ya picha.na ujenzi ni mkubwa mno masoko,stendi,majengo kama bukoba shopping mall pale miembeni yanajengwa,super market pale kwa kagambo,kaitaba stadium, ihungo high ambayo wanajenga maghorofa baada ya tetemeko, na nyakato,nyumba na lodges ndo usiseme SK kule nshambya, nyumba hasa kyebitembe,nshambya, buhembe,kahororo,kwa kagambo,kyakairaba baada kutaka kuhamishia stendi huko.magoti na nkindo kwenye chuo,kitendaguro ndo basi ,kilimahewa,kahanga,nk moshi itagalagazwa mno itakuwaje Mara mbili yake kipindi kijacho wahaya wamerudi bk kuunganika na wanyarwanda, nyankole,wanyambo,wahangaza walio wengi bk na waganda,bk iachr wewe
 
Unavyofikiria sivyo mji Wa bukoba una kilometa za mraba 90 huku moshi ikiwa na 59 hivyo kiukubwa bukoba ni kubwa kuliko moshi. Kwa location bukoba iko location nzuri ukizingatia imepakana na Uganda. Rwanda,Burundi, na Kenya kupitia ziwani,kimzunguko Wa pesa ni mkubwa hasa uwepo Wa bandari, nchi nyingi zilizozunguka,vyuo vingi saut,jocuko,katoke,na open.pia viwanda ni vingi tanika,bunena water,Victoria chalks,vicfish,chai yetu,asilia water,Kabanga water, Mali juice,viwanda vya mafuta ya kujipaka,kagera sugar,viwanda vya maziwa,na balimi,.tena bk IPO katikati ya mwanza na mtukula ambayo miji kuna masoko ya Africa mashariki,biachara ya ndizi ndo usiseme watu ni wengi na bukoba bado INA sehemu kubwa ya kujenga nyumba kuliko moshi ambayo imebanwa na vijiji. Nakushangaa usemapo moshi itangazwe jiji ?
Hapa unaiongelea bukoba au kagera.
 
Toa hoja mfu ya usafi...mbona dar na mwanza majiji na machafu sana kuliko ata bukoba!!! Kampala jiji lakini chafu ije kuwa manisipaa ya BK!!!

Siye tumesema moshiiiii inakaa kwa BUKOBA! Wakola
BUKOBA HAINA HADHI HATA ROBO YA MOSHI
HEBU TUAMBIE BUKOBA NA MOSHI IPI INakusanya mapato mengi?
 
Naaam kuna sehemu za kwenda kutalii na kujifunza kama Arusha, Mwanza, Mbeya, Morogoro, Iringa, Shinyanga, Mara, n.k lakini sio huko mdau kama ziwa hata Moshi Nyumba ya Mungu lipo
We huoni mandhari beach,cassino,na biashara ya hali juu.hata hivyo kaa ukouko unaogela bwawani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom