Budget YA NEEMA YAJA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika

Pongezi kwa mkullo
 
Tusio walimu ndio imekula kwetu. Ushabiki mwingine, hasara na janga kwa Taifa. Mzaha mzaha
 
Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika

Pongezi kwa mkullo

Nasikia Chama cha Demokaya na Magwanda wamepanga kususa kuingia bungeni !
 
Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika

Pongezi kwa mkullo
Acha kebehi wewe.Ninyi ndio mnaojifanya mko matawi ya juu.Lakini mbona na wewe ni ndondocha wa Freemasons.
 
watanzania bwana, mnaleta bangi hadi kwenye mambo ya msingi? Mtakua lini mgundue kuwa nyie ni maskini wa fikra?
 
Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika

Pongezi kwa mkullo

Nakushauri ubadilishe hilo jina, ninaanza kupata wasiwasi
 
hatuna haja ya kusikiliza wala kujadili bajeti ya mishahara,kila mwaka kutegemea kodi za sigara na bia badala ya kusimamia na kubuni vyanzo vipya vya kodi
 
Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika

Pongezi kwa mkullo

The good thing nowadays is that we are defining things subjectively pending on who and how one feels about anything!
 
Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika

Pongezi kwa mkullo

Vipi kuhusu wakulima na wafugaji ambao ni zaidi ya 80% ya wanananchi wa Taifa hili???? Kweli kwa kuwajali wafanyakazi (kama ni kweli) ndo kusikiliza kilio cha watu wengi???? Mkubwa.. I think next time you have to look before you jump in here with full of upupu!!!!...
 
Back
Top Bottom