Bsc Applied Statistics

aladin news

Member
Aug 11, 2013
67
2
Wana jf wenye experience,au knowledge juu ya hii course naomba information zaidi juu ya ajira yake...na course kwa ujumla
 
courz nzur,ajira pia ngumu ila ukibahatisha private ina ela ya kutosha na mafield ya pesa ya ukwel,serikalin ela ya kawaida sana na kwa sasa inatolewa mzumbe na udom
 
courz nzur,ajira pia ngumu ila ukibahatisha private ina ela ya kutosha na mafield ya pesa ya ukwel,serikalin ela ya kawaida sana na kwa sasa inatolewa mzumbe na udom

Bagamoyo wanatoa...tena wao wanaijumuisha na mathematics...hata udsm pia tena zimejaa nyingi tu!!!
 
MWUCE ndo Bsc in maths and Stac na xio applied stac!! Kozi nzuri kwa kuwa mtakwimu!!
 
Back
Top Bottom