Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

Jifunze hata ku quote watu ili kama na kuja kukukojolea nikukojolee mdomoni vizuri na mapema guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo wewe.

Unataka kulianzisha na mimi?

Unajua hata nilichoandika ni nini?
Ujaitwa unaitika acha kujishtukia... Acha kujifanya much know mtoto wa kiume..
 
Ndugu najua now nikama limemalizika kundi la kwanza means 50 monie na 50 jioni !!
Next wik 100 nyingine then the 3week 100 means wale wapromo mia3 wanakuwa wamemalizika ambayo itakuwa kama tarehe 30 hv kama sjakosea!!!
Wazo langu kwako Mr. Antorio nimoja!! Kuna watu wengi ambao tumekwama kufika tutokana na nasababu mbalimbali na Mimi nikiwa mmoja wao means either tumekwama kifeza ila tukiwa tunasubili mwisho wa mwezi tupate mishara yetu ambayo kikawaida inakuwa maranyingi at the end of the month 27-30 !!! Kama kijana ninayetaka kujikwamua kiuchumi
Nakuomba kuanzia ile tarehe ya mwisho yahao 300 toa bonus ya wiki moja blaza ntakushukuru sanaana blaza plz nakuomba ombi langu ulifikilie !!!!

Tuwage tunasoma vizuri uzi huyu mtu yupo busy sana hata kuweni na kahuruma,
Ushaambiwa soma vitabu pata mwanga ukiona mda umewadia fika ofisin au kama vile ww upo mbali piga ile namba ya secretary akupe maelezo,lazima kutakuwa naplan baada ya hao 300.

Ila secretary wa Ontario atakuwa anajionea mengi aisee.
 
Kwenye dummies hakuna mtiririko mzuri kulinganisha forex bible unaweza kukuta terminology za forex kwenye dummies zikiwa zinatumika mwanzoni pasipo kuelezea maana yake


shukrani kiongozi. Well noted. Hiyo Forex Bible unayo? kama naweza kuipata.

-Kaveli-
 
Marejesho jamani!!
Kuna watu wameshapiga pesa??
Ukiona kimya ujue jambo moja tena la msingi kabisa, hakuna mtu anataja mshahara wake hadharani, labda kuwe na sababu, pia kama ulikuwa unafuatilia vzr comment za Ontario ungekuwa na jibu la hill swali lako
 
Wakuu hiv mtu anaposema

You must trade with at least lot of 5

Anamaanisha nn

Maana m huwa najua lot n kiwango cha acc eg

100000 starndard
10000 mini
 
Wakuu hiv mtu anaposema

You must trade with at least lot of 5

Anamaanisha nn

Maana m huwa najua lot n kiwango cha acc eg

100000 starndard
10000 mini
Boss apo unatakiwa ufungue position ya 5.0 I hope hiyo n condition mjawapo ya bonus ili uwithdraw profit?????
 
Back
Top Bottom