Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

Hiyoni bonge ya trade kaka, watu hawaielewi tu.

Dow Jones imepanda sana leompakainanipashakakwamba nikinunua options, ama risks zangu zita outweigh returns ridiculously, ama nitapoteza hela kabisa kwa kununua high halafu ngomaishuke past my prediction.

Kwa hiyonikisemaleo nisi trade nisubiri wiki ijayo gomalitashuka KimJong Un akipiga bomu sehemu huko au kukitokea mlipuko waugaidi, au kukija hurricane, au Trump akijamba ushuzi mbaya watu wakakasirika, nitakuwa sawa.

Na goma litashuka tu, haliwezikupanda bilakushuka, it is against the laws of Physics and Economics.

Sasa mtu ukielewa hizi entry and exit points,ukatakakuzijua zaidi ili kuwa safe, ukimsikia mtu anayesema hii biashara ni hasara tupu utamsikiliza, kwa sababu hayupo totally wrong,ukiingiakichwa kichwa utapoteza helanyingi sana.

Lakini kama unafanya homework, unafanya risk management,unaangalia fundamentals,unaangalia pivot points, support points, resistance points etc, unakuwa una approach trades na informed decisions kiasi kwamba trade moja ikiharibu una nafasi tatu nyingine za kuibadilisha, na ukiona nyingi zinaharibu unachukua likizokidogo kutoka kwenye market maana inawezekana "shetani" wako siku hiyo hataki u trade.

Kwa hiyo ushauri huu wa kuogopa markets si mbaya, kwa sababu una ukweli mkubwa - a lot of these brokers are unregulated gambling dens- lakini, ukwelihuu si kila mahali, kuna risk minimization ways kibao.
Yaani MIE hapa nawaza kumpata broker wa mkweli asiye tapeli mkuu.unaweza piga mpunga afu usitoke.hapa najisomea vitabu na MIE nilikuwa MTU wa kukomaa.
Kwa ushauri pakua applications za international broadcasting muda wote uwe updated pia n kuwa follow viongozi wa dunia pale Twitter. Tukio lolote wana twitt. Akina Merkel,trump,wa jàpani,n.k
 
Yaani MIE hapa nawaza kumpata broker wa mkweli asiye tapeli mkuu.unaweza piga mpunga afu usitoke.hapa najisomea vitabu na MIE nilikuwa MTU wa kukomaa.
Kwa ushauri pakua applications za international broadcasting muda wote uwe updated pia n kuwa follow viongozi wa dunia pale Twitter. Tukio lolote wana twitt. Akina Merkel,trump,wa jàpani,n.k
Mimi tangu mdogo nasikiliza BBC World Service. Daily.Tangu kwenye "World Receiver"ya mshua kutumia Short Wave.

Hapo kabla ya Internet.

Sasa hivi Tune In kwa sana.

Halafu nina Subscribe "The Wall St. Journal" na "The New York Times", online access na kuletewa nyumbani kila siku asubuhi.

Weeklies ndiyo usiseme.Saa nyingine naona noina over subscribe.Sipati muda wa kusoma ninavyotaka.

huko Twitter na online ndiyo usiseme,nimezunguka internet mpakaservices nyingine najaribu kusajili naambiwa "email yako tunayo ulishajisajili tangu 1999. Wewe utakuwa umezunguka internet yote mpaka kuimaliza".

Kwa hiyo tunagangamala.
 
Wakuu leo training ilikuwepo as usual ? au wenye roho mbaya walifanikiwa azma yao
 
Mkuu Ontario na wadau wengine tupeni update za hapo mjengoni...jana kuna habari ililetwa hapa kuhusu ujio wa polisi na kusimamisha training process...sasa hatujapata mrejesho kamili.
Najua wapo wapinzani wa forex kama ilivyo kwenye masuala mengine ya mafanikio kupinga tusifanikiwe kwenye forex ile unabii wao uwe kweli...wanatamani kuona baada ya training tumefeli ili waseme we told them.
 
Hahahhahaha, kwanini mdanganye watu kwamba watapiga pesa mkuu , na mnawatia sana matumaini? Hivi ingekuwa rahisi namna hiyo watu wangepoteza muda kufanya shughuli nyingine na kama ni shule wasomee Forex tu?

Nani amekwambia Forex ni "rahisi namna hiyo"?
 
Ushauri wangu kwa vijana wadogo mnaotaka mafanikio makubwa.

Kimbia Tanzania haraka na mapema iwezekanavyo, hakuna la maana utakalopata ukijidai we ni mzalendo.

Nimesikitishwa sana kusikia TMT imevamiwa na polisi, hizo sio dalili nzuri nawaambia.

Siku sio nyingi mtasikia mnatakiwa kufunga TMT hadi siku walio na mamlaka wakiamua vinginevyo..

Hii nchi ya kis3ng3 sana, watu wanafurahi wakiona wenzao ni masikini.

Elon Musk ameondoka South Africa kwenda Marekani, leo mnaona anachofanya.

We endelea kubaki Tanzania uendelee kushika bomba la mwendokasi maisha yako yote.
Deep down the earth comment
We Jamaa nakuelewa sana
 
Ndugu najua now nikama limemalizika kundi la kwanza means 50 monie na 50 jioni !!
Next wik 100 nyingine then the 3week 100 means wale wapromo mia3 wanakuwa wamemalizika ambayo itakuwa kama tarehe 30 hv kama sjakosea!!!
Wazo langu kwako Mr. Antorio nimoja!! Kuna watu wengi ambao tumekwama kufika tutokana na nasababu mbalimbali na Mimi nikiwa mmoja wao means either tumekwama kifeza ila tukiwa tunasubili mwisho wa mwezi tupate mishara yetu ambayo kikawaida inakuwa maranyingi at the end of the month 27-30 !!! Kama kijana ninayetaka kujikwamua kiuchumi
Nakuomba kuanzia ile tarehe ya mwisho yahao 300 toa bonus ya wiki moja blaza ntakushukuru sanaana blaza plz nakuomba ombi langu ulifikilie !!!!
 
kuna tofauti gani kati ya kamari na forex trading mkuu.maana nasikia 90% ya wanaofanya forex wanaloose. unadhani nyie watanzania mmejipanga kivipi ila msiwe kwenye hiyo 90%?
Maana unasikia 90% wanaofanya forex wanaloose,acha kunitia aibu,jaribu kusoma soma kidogo vitabu hata kugogle ,stop being lazy,unasikia,hunauwakika,lakini kuna binadamu wengine tumeumbwa hatupendi kusoma vitu ambavyo vinapanua mawazo yetu,zaidi tunapenda magazeti ya kipuuzi na udaku!!!lakini yakutuongezea mbinu tunakuwa wavivu mbaya!!!poor us Tanzanians!!!
 
photo_.jpg


Thank you ONTORIO you have inspired me alot since i saw you at ANZISHA FELLOW 2015. now i know why bankers and financial institution in africa and the world they never want to reveal the secret behind forex, because this is poverty destroyer. nimegundua kua matajiri wengi wanaroho mbaya ndo mana wao wanatrade forex kitambo hapa mbongo na hawajaonesha watu hii fursa.
this guy is blessed ndo mana hii fursa katulea nyumbani, nimejua forex kupitia SIRJEF na since day one nikaenda deep sikutaka kupoteza mzee naona after one year i will meet my way to financial freedom. pesa hailali wakuu in forex pesa inaflow tu 24 monday - friday.

my fellow traders never give up, the wealth is for those who bless money and follow the stream where there is congestion of money, and that stream is forex. hao lembumbuz wanao ponda hawajielewi kabsa.

MKUU [HASHTAG]#ONTORIO[/HASHTAG] FINANCIAL FREEDOM IS JUST THE SAME AS POLITICAL FREEDOM, IT'S FOR THE PEOPLE KEEP MOVING FORWARD, FORWARD ACROSS THE SETBACKS WE THE PEOPLE NEED THIS BIGGEST FREEDOM.
 
Nasubiria kuona namna mnavyochuma mahela wakuu


Uko ulimwengu wa mbali na waliko wenzio. Unajifanya hujui kumbe unajua! Forex si kitu cha kubahatisha wala si kitu rahisi na mtu yoyote anaejifunza Forex hayo yote anayajua.

Don't invest money you can not afford to loose, hii ndo statement ya kwanza kwa Forex wala haina mficho na hicho ndo kinachotuongoza.

Nani kakwambia kwenye Forex kuna pesa rahisi?
 
Ahsante kwa ushauri. Na ni kwanini nianze na Forex Bible? kuliko kuanza na Currency Trading for Dummies.

BTW... I like your Signature: ''Winners are not those who never fail. Winners are those who never quit. ''

-Kaveli-

Kwenye dummies hakuna mtiririko mzuri kulinganisha forex bible unaweza kukuta terminology za forex kwenye dummies zikiwa zinatumika mwanzoni pasipo kuelezea maana yake
 
Back
Top Bottom