Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

Watu hawatiani hopes ambazo hazina uhakika, kwanza ni lazima uelewe kuwa kuna hatua muhimu za kufuata mpaka uje uone kuwa Forex ni biashara.
1. Soma vitabu kwa umakini sana na uelewe vya kutosha, kama ni tatizo kwako kusoma jitahidi muwe hata watu wanne mbadirishane uelewa.
2. Fungua Demo account na utrade angalau for 3 to 4 months
3. Njoo ujoin TMT kwa mafunzo maalum na Mentorship ambayo ni kama 6 months hapo unaweza kuwa on your own.

Nafikiri sasa utakuwa umeelewa kdg.
Naomba tuwasiliqne sir 0763583773

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Upepo wa hela, uko poa?

Nataka kuwa beginner wa kujifunza hii kitu. Leo naanza kusoma kitabu ''Currency Trading for Dummies'' 2nd Edition, by Brian Dolan. I am total beginner kwenye hii kitu, sina clue yeyote, yaani starting from zero. Je labda ni vitabu gani vingine ziaidi vinavyofundisha hii kitu kwa lugha rahisi kabisa? ama ni njia gani nyingine ya kujifunza you would recommend for a beginner ?

-Kaveli-
Mi nakushauri anza na forex bible halafu ndo uje na hiko kitabu
 
Napokea requests nyingi kwa PM za watu kutaka kujoin the programme. Guys siwezi kujibu PM zote, as in am extremely busy. Lkn njia nzuri zaidi ni kufika ofisini Jumatatu-Ijumaa kuanzia saa 2 asubuhi hadi 12 jioni.
Ama unaweza kupiga simu ya secretary wangu 0786 537 334.
Ndgyangu hata ambao hatukuwepo kwenye first 300 tunaruhusiwa kuapply sasaivi? Maana nilikua nasubiri utaratibu mpya kwa sababu nipo sumbawanga, na ili kuja huko ni mpaka nikiwa nimeconfirm tarehe ya kuanza pindi letu.
 
Nawatakia mafanikio mema licha ya changamoto katika mchakato.

Hakuna kizuri kinachokuja kirahisi.

The hotter the battle, the sweeter the victory. When it is darkest, the break of dawn is nearest.

Leo najiandaa kupiga about $500 in fresh profits options trading, in about 2 hrs 45 minutes.

Haponi kwa mwendo wa kuwa risk averse.

Manage your money well, do your homework, get in and out at the right times.

Focus on the process,the money will come like you have some money magnet.

Inatia moyo sana kusikia lugha za namna hii. Nimependa.
 
At least umejaribu ku declare interest wewe , well nimeona humu kuna promo za kufa mtu as if mnasubiria tu muda wa kuvuna pesa kama vile mtu anavyochuma embe mtini
Ndio mana kuna vitabu na trainings
 
Mi nakushauri anza na forex bible halafu ndo uje na hiko kitabu

Ahsante kwa ushauri. Na ni kwanini nianze na Forex Bible? kuliko kuanza na Currency Trading for Dummies.

BTW... I like your Signature: ''Winners are not those who never fail. Winners are those who never quit. ''

-Kaveli-

Inatia moyo sana kusikia lugha za namna hii. Nimependa.
Ninahuzunika sana ninapoona watu wanaleta lugha za doomand gloom hata kabla ya mchezo kuanza.

Ni kwelikwamba biashara hii si lelemama na si "get rich quick scheme".

Lakini ni kweli pia kwamba si kitu ambachohakiwezikabisa kusomwa na kutabirika.

Watu wanatabiri hali ya hewa, itakuwa Forex?

Ni kujipanga tu realistically na kufanya homework inavyotakiwa.

Leonimeona markets zimepanda sana ziko so expensive kununua na zinaweza kuangukasaa yoyote kwa habari zozote za kijinga,sijanunua kitu ingawa nilipanga kupiga kati ya $1000 na $2000.

Nasubiri vitu vishuke kidogo nipate pa kuingia vizuri.

Kuamua kutoingia kununua kitu nako ni ku trade.

Una trade upande wa "capital preservation" in case markets zitaporomoka.

Hakuna fine kwamba nisipo trade options leo nitalipishwa faini kiasi fulani.

Sasa mtu ambaye nipo risk aversehivyo, machale sana, hata nikipiga faida zangu za $500 pale, $1000 pale, $2000 pale nikafunga wiki na faida ya $3500 katika choppy waters ninapoona markets zinaweza kuanguka, nikasubiri zianguke halafu ninunue cheap zipande nipige $5000 kwa siku moja, utasemaje nafanya biashara yenye risk sana nitapoteza hela?

Wakati najua wapi pa kuogopa kuingia na wapi pakuingilia, kwa kutumia fundamentals, tech analysis na geopolitical news, naangalia resistance na support levels, nafuatilia economic calendars, nina software nangalia halafu nachanganya na ninavyojua mwenyewe.

Ni kujipanga tu.
 
Wakuu naomba msaada wenu nahitaji kufungua akaunt payoneer lakin sina sanduku la posta litakaloniwezesha kutumiwa mastercard ya payoneer... Je hakuna njia nyingine itakayoniwezesha kutumiwa hio mastercard?
 
Duuh hili jambo kama nilianza kulihisi tokea mwezi May ulivyowekwa uzi wa kwanza!! Ila ni waambie tu, UNAPOLETA KITU KIPYA NDANI ya mfumo lazima kutokee reaction! Unapokua na kundi la kuku, ukiweka kuku wapya LAZIMA KWANZA WATAPIGANA then wakizoeana ndio watakaa kwa amani! Hii ni kawaida wakuu!!

Nimesikitika sana kuona yaliyotokea hapo jengoni TMT, ni dalili mbaya sana na inatoa picha mbaya kwa jamii hasa wawekezaji! Ila tutafanyaje ndio nchi yetu hii...je tuache forex kisa polisi, Nope!!

Nitoe tu pole kwa wote tulio kwazika hasa TMT na uongozi wake pia niwaambie tu, Tulianza tokea mwezi wa tano, imekua safari ndefu mpaka tulipofika hapa, kwa investment iliyofanyika interms of money and time hamna haja ya kukata tamaa! ni sawa umekula ng'ombe mzima alafu unaacha kamkia!!

Naimani TMT mtakuja na mrejesho wa yaliyotokea ila mjue...

Hata mandela aliwekwa jela lakini mwisho wa siku akawa baba wa taifa!!

Hapo wanapambana na nini sasa? Wanadhani kuna utapeli, wakati watu wanakombolewa kifikra?

Fx inafanyika 24/5 , watahangaika na mwanzo tu. Time will tell. Kwa vile biashara inafanyika hata ukiwa kitandani kama vile unachat na mpenzi wako kumbe una fungua na kufunga position za hela.
Hata iweje ...ALUTA CONTINUUA.
 
Nimekuja na hii sio mpya Ila ni ujumbe kwa wasiopenda mafanikio ya TMT ukiona inakuuma jinyonge
Screenshot_2017-09-15-08-20-11.png
 
hey!!haters(tena nahis wengine wanandevu ni wahenga kabisa tena wazee....haya mambo pasipo kuwasupport vijana wenye kupambana,,mtayackia kwa wezenu 2!!tena huko wanaombea wazd kuwa wengi !!!!lakin huku sas....
shez.png
 
Ninahuzunika sana ninapoona watu wanaleta lugha za doomand gloom hata kabla ya mchezo kuanza.

Ni kwelikwamba biashara hii si lelemama na si "get rich quick scheme".

Lakini ni kweli pia kwamba si kitu ambachohakiwezikabisa kusomwa na kutabirika.

Watu wanatabiri hali ya hewa, itakuwa Forex?

Ni kujipanga tu realistically na kufanya homework inavyotakiwa.

Leonimeona markets zimepanda sana ziko so expensive kununua na zinaweza kuangukasaa yoyote kwa habari zozote za kijinga,sijanunua kitu ingawa nilipanga kupiga kati ya $1000 na $2000.

Nasubiri vitu vishuke kidogo nipate pa kuingia vizuri.

Kuamua kutoingia kununua kitu nako ni ku trade.

Una trade upande wa "capital preservation" in case markets zitaporomoka.

Hakuna fine kwamba nisipo trade options leo nitalipishwa faini kiasi fulani.

Sasa mtu ambaye nipo risk aversehivyo, machale sana, hata nikipiga faida zangu za $500 pale, $1000 pale, $2000 pale nikafunga wiki na faida ya $3500 katika choppy waters ninapoona markets zinaweza kuanguka, nikasubiri zianguke halafu ninunue cheap zipande nipige $5000 kwa siku moja, utasemaje nafanya biashara yenye risk sana nitapoteza hela?

Wakati najua wapi pa kuogopa kuingia na wapi pakuingilia, kwa kutumia fundamentals, tech analysis na geopolitical news, naangalia resistance na support levels, nafuatilia economic calendars, nina software nangalia halafu nachanganya na ninavyojua mwenyewe.

Ni kujipanga tu.
Mkuu umenichekeshaje ujue.Nina wiki sijacheka kama ulivyonivunja mbavu Leo. Hata Leo ume trade upande wa capital preservation. Pokes like kubwaaa
 
Hapo wanapambana na nini sasa? Wanadhani kuna utapeli, wakati watu wanakombolewa kifikra?

Fx inafanyika 24/5 , watahangaika na mwanzo tu. Time will tell. Kwa vile biashara inafanyika hata ukiwa kitandani kama vile unachat na mpenzi wako kumbe una fungua na kufunga position za hela.
Hata iweje ...ALUTA CONTINUUA.
Hata MIE nimeipenda yaani Upo ndani unachat kwa wengine kumbe wewe unapiga hela.
 
Mkuu umenichekeshaje ujue.Nina wiki sijacheka kama ulivyonivunja mbavu Leo. Hata Leo ume trade upande wa capital preservation. Pokes like kubwaaa
Hiyo ni bonge ya trade kaka, watu wengine hawaielewi tu.

It's not likenikiamua kuto trade leo, Jumatatumarkets zitakuwa hazipo. Zipo bado.

Dow Jones imepanda sana leo mpaka inanipa shaka kwamba nikinunua options, ama risks zangu zita outweigh returns ridiculously, ama nitapoteza hela kabisa kwa kununua high halafu ngoma ishuke past my prediction.

Kwa hiyo nikisema leo nisi trade nisubiri wiki ijayo goma litashuka Kim Jong Un akipiga bomu sehemu huko au kukitokea mlipuko wa ugaidi, au kukija hurricane, au Trump akijamba ushuzi mbaya watu wakakasirika, nitakuwa sawa.

Na goma litashuka tu, haliwezikupanda bila kushuka, it is against the laws of Physics and Economics. Litashuka, even if it's a "buy in the dips" type of kushuka ambapoinashukahalafu inapanda tena.

Sasa mtu ukielewa hizi entry and exit points, ukataka kuzijua zaidi ili kuwa safe, ukimsikia mtu anayesema hii biashara ni hasara tupu utamsikiliza, kwa sababu hayupo totally wrong, ukiingia kichwa kichwa utapoteza hela nyingi sana.

Lakini kama unafanya homework, unafanya risk management,unaangalia fundamentals,unaangalia pivot points, support points, resistance points etc, unakuwa una approach trades na informed decisions kiasi kwamba trade moja ikiharibu una nafasi tatu nyingine za kuibadilisha, na ukiona nyingi zinaharibu unachukua likizokidogo kutoka kwenye market maana inawezekana "shetani" wako siku hiyo hataki u trade.

Kwa hiyo ushauri huu wa kuogopa markets si mbaya, kwa sababu una ukweli mkubwa - a lot of these brokers are unregulated gambling dens- lakini, ukwelihuu si kila mahali, kuna risk minimization ways kibao.
 
Back
Top Bottom