Kwahiyo bunge letu linazidiwa hoja na watu waliyo nje na kama ndivyo hawa wabunge tunawalipa mamilioni ya kazi gani kama wanashindwa kuona mambo muhimu ya kimsingi na kuamua kuupitisha kwa asilimia 100..hongera CDM make mmejiweka kando ktk kupitisha ushenzi huu ila Ole wao ccm na cuf walioupitisha muswada huu wa kusadikika
VIVA CHADEMA,sauti yenu ni sauti ya umma
Naona wengi hapa ni wavivu wa kufikiri sana! Ni nani amewaloga akili zenu na kuwa kama maji? Ni nani amewaambia huo ndio muswada wa katiba mpya? Mnacheza nyie na propaganda za Magwanda na washilika wake! Swali! Ni nani ameusoma huo unaoitwa muswada? Kama hakuna kaeni kimya maana mmelishwa matango pori na cdm. Huo ni muswada wa namna ya tume itakavyofanya kazi na una ainisha wajumbe waweje na kutoka wapi na wa aina gani full stop. Sasa nyie mnadandia treni kwa mbele! Usomeni kwanza ndio mtafute hoja.