Breaking newz: Msanii wa maigizo hatunaye tena!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
nimepata habari yamotooo tena sasa hivi Nikiwa hapa gereza la ukonga,nikitumikia kifungo cha miaka 11 tangu mwaka jana,ni kwamba msanii Steven Kanumba amefariki dunia! ,bado sijajua sabb ya kifo chake na muda aliokufa,maana Afande aliyenidokeza alikuwa yupo bize,na alikuwa hataki maswali mengi
 
imbecile
 
Nilifikiri amefufuka kumbe amekufa tena...wewe una mawasiliano gerezani wapi pata hiyo mawasiliano bana?nitafutie Liyumba nataka ongea naye kidogo
 
nimepata habari yamotooo tena sasa hivi Nikiwa hapa gereza la ukonga,nikitumikia kifungo cha miaka 11 tangu mwaka jana,ni kwamba msanii Steven Kanumba amefariki dunia! ,bado sijajua sabb ya kifo chake na muda aliokufa,maana Afande aliyenidokeza alikuwa yupo bize,na alikuwa hataki maswali mengi

we kama sio chakula ya nyapara cjui???
 
nimepata habari yamotooo tena sasa hivi Nikiwa hapa gereza la ukonga,nikitumikia kifungo cha miaka 11 tangu mwaka jana,ni kwamba msanii Steven Kanumba amefariki dunia! ,bado sijajua sabb ya kifo chake na muda aliokufa,maana Afande aliyenidokeza alikuwa yupo bize,na alikuwa hataki maswali mengi

utoto unakusumbua ukikua utaacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom