BREAKING NEWS: Enock Mwepu wa Brighton na Zambia hatacheza tena soka, kakutwa na Ugonjwa wa Moyo

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,664
Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah!

=======

BREAKING NEWS
DARK DAY FOR ZAMBIA
Shattered dreams, Sorry Computer
Enock Mwepu has been forced to end his playing career following the diagnosis of a hereditary heart condition.
The condition, which can worsen over time, would put Enock at an extremely high risk of suffering a potentially fatal cardiac event, if he were to continue playing competitive football.

Club chairman Tony Bloom said, “We are all absolutely devastated for Enock. He and his family have had a traumatic few weeks and while we are just thankful he has come through that period, he has seen such a promising career cut short at such a young age.

“As a club we will give him all the love, help and support we possibly can to make a full recovery, and then as he decides on the next steps in his life.”

Head coach Roberto De Zerbi added, “I am so sorry for Enock. Before I arrived I looked at all the squad, and he was a player I was so excited and looking forward to working with. We will do everything we can to help him.”

Head of Medicine and Performance, Adam Brett explained, “It is a terrible blow for Enock, but he has to put his health and his family first and this is the right choice, however difficult it is to quit the game he loves.”

Enock was taken ill while on a flight to join up with Zambia during the international break and after a period in hospital in Mali he returned to Brighton to undergo further cardiac tests and ongoing care.

These tests have concluded that his illness is due to a hereditary cardiac condition, which m
anifests later in life and was not previously evident on regular cardiac screening. Sadly this can be exacerbated by playing sport so Enock has been advised that the only option, for the sake of his own safety, is for him to stop playing football.

Adam continued, “Of course, given this is Enock’s career and a decision which can’t be taken lightly we have taken our time to be as thorough as possible, completed advanced cardiac investigations and collaborated with clinical experts to gain the best second opinions for Enock.

“We will be helping him make sure the condition is managed with the appropriate treatment for him to otherwise live a long and healthy life.’”
 
Duhh maskini weeeeee
mwepu.JPG
 
Doh!

Kijana angali mdogo sana, inabidi tu atafute kitu kingine cha kuendesha maisha
 
Aje huku acheze, huku hatuangalii hayo magonjwa, nilisikia hata Gael bigirimana ana tatizo la afya Ila huku kwetu anacheza tu
 
Kanu alikuwa na matatizo ya moyo alitibiwa akarudi uwanjani nategemea na yeye itakuwa siyo mwisho wa career yake
 
Kanu alikuwa na matatizo ya moyo alitibiwa akarudi uwanjani nategemea na yeye itakuwa siyo mwisho wa career yake
inasemekana ya huyu dogo ni fatal kabisa..kwenye friendly macth na mali kule bamako alizidiwa mazoezini nafikir baada ya hapo alivyorudi England wakafanya vipimo deep
 
Huyo january anaachwa wanachekecha kichwa style ya kuachana naye
Unadhani huko ni bongo sio? Huko kama wanataka kuvunja mkataba watakuvunjia tu kikubwa wanaangalia vipengele vya mkataba unasemaje

Yani watafute sababu ya kuachana na mchezaji utadhani wao ni Simba au Yanga? Kukosekana Kwa dogo ni pengo Brighton lakini pia pengo katika familia ya mpira duniani maana alikuwa ni promising player

Kama atarudi ni Kwa neema za Mungu tu ila Brighton hawezi kutafuta sababu za kuachana na mwepu labda kama ulikuwa hujui dogo ana uwezo gani uwanjani, ile ingekuja kuwa pesa ndefu kwao badae dogo ni fundi Haswaaaa
 
Huyo january anaachwa wanachekecha kichwa style ya kuachana naye

Brighton chairman Tony Bloom said: "We are all absolutely devastated for Enock. He and his family have had a traumatic few weeks and while we are just thankful he has come through that period, he has seen such a promising career cut short at such a young age.

"As a club we will give him all the love, help and support we possibly can to make a full recovery, and then as he decides on the next steps in his life."
 
Unadhani huko ni bongo sio? Huko kama wanataka kuvunja mkataba watakuvunjia tu kikubwa wanaangalia vipengele vya mkataba unasemaje

Yani watafute sababu ya kuachana na mchezaji utadhani wao ni Simba au Yanga? Kukosekana Kwa dogo ni pengo Brighton lakini pia pengo katika familia ya mpira duniani maana alikuwa ni promising player

Kama atarudi ni Kwa neema za Mungu tu ila Brighton hawezi kutafuta sababu za kuachana na mwepu labda kama ulikuwa hujui dogo ana uwezo gani uwanjani, ile ingekuja kuwa pesa ndefu kwao badae dogo ni fundi Haswaaaa
umekurupuka namzungumzia mrundi wa yanga wanataka kumuacha january
 
Brighton chairman Tony Bloom said: "We are all absolutely devastated for Enock. He and his family have had a traumatic few weeks and while we are just thankful he has come through that period, he has seen such a promising career cut short at such a young age.

"As a club we will give him all the love, help and support we possibly can to make a full recovery, and then as he decides on the next steps in his life."
nimejibu comment ya mdau akizungumzia mgonjwa toka EPL aliyesajiliwa yanga, relax, chillax, wanataka kumuacha january
 
Kama kina Eriksen walitibiwa wakarudi uaanjani kwanini kwake isiwezekane?

Hao Brighton hawana madaktari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom