7,500 kwa siku badala ya 5,000 kwa siku.kwa pesa ipi 2lonayo sasa?
Hilo lilitegemewa,kwahiyo kazi kwenu pale rev square
MILO MIWILI 1200x2=2400/=, chapati au andazi mlimani ni ya 150-200 and above ukiwa mbishi chapati mbili (2) na chai 200x2=400 na chai kikombe kimoja 100-150 chua hiyo least price ya 100/= kwa hiyo breakfast ni 500/= ukisema ule matunda mchana ni ya 300-500/= ndio yanaweza yakatosha. maji ni lazima kwa mji wa dar es salaam labda uwe ngamia unahifadhi maji nayo ni kati ya 500-700/= wanakupa stationary lakini mbili 200,000/= lectucturer kila baada ya lecture anakupa handout yenye least page 5-10 photocopy ni 50-100@10 1000/= kwa ajili ya stationary laki mbili itakutosha kwenye siku mia moja na ishirini za semester 120.?
sasa kwa mchanganuo wangu wa huo tukitafuta jumla ambayo mwanafunzi anatumia kwa siku kwa kujibana tujumlishe
2400+500+1000+1000+500=6400 @ huyu ni wa kampusi
wa mabibo plus nauli 250-300/= @ 250X2=500
6400+500=6900/=
ACCOMADATION MPAKA NAONDOKA ILIKUWA 250@ MABIBO 500@KAMPUSI
JUMLA MABIBO NI 7150/= KAMPUSI 6900/= MIND YOU NI ASSUME KWAMBA UTAKULA CHAKULA CHA NAMNA MOJA KWA SEMESTER NZIMA KA MAVILE UKO BOARD AMBAPO NAPO HUWAGA WANABALISHA MENU
MAHESABU HAYA NI YAFANYA KWA HIYO BEI MPYA WITH ALOT OF ASSUMPTION ILI 7500/= ITOSHE LAKINI HALISIA 7500/= HAITOSHI KWA LUGHA NYEPESI USITEGEMEE KUNUNUA CHOCHOTE KUTEGEMEA BUMU LABDA UTUMUE MAFORMULA YA BINARY 1-0-1,0-0-1 AKA PASI LAMPARD AKA PASI NDEFU YAANI UNAJINYIMA BAADHI YA MILO ILI USAVE. BAD ENOUGH MAJORITY YA WANAFUNZI WENGI HAKO KABUMU NDIO ANAMALIZIA ILE PERCENT YAKE YA TUTION FEES.
HAO WATU WAMACAFETERIA WANAPATA FAIDA SANA KWA MAANA WANA UHAKIKA WA KUUZA CHAKULA CHAO CHOTE MPAKA MWISHO WA SEMESTER BILA KUDORORA KWANZA HAWANA WAPINZANI KAMA MABIBO..
mkuu maisha ya bili nayo yako limited .aisee umenikumbusha miak ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni na hiyo bajeti. Kama vp nenda kalipie kwa wale mama lishe hela ya semester yote inayobaki uwe unajirusha huku ukiwa na uhakika wa mlo mkuu, mengine yatajiseti yenyewe!