KWA MWENDO HUU WIZI NA UFISADI VITAISHA?
Consider this:
Kima cha chini cha mshahara ni 150,000/=
ticket ya mpira 200,000/=
Si ni kishawishi hiki?
ama kweli OPPORTUNITY ( AND TEMPTATION) MAKES THE THIEF![/QU
kwani wote wanaoingia uwanjani ni KCC tu??
KWA MWENDO HUU WIZI NA UFISADI VITAISHA?
Consider this:
Kima cha chini cha mshahara ni 150,000/=
ticket ya mpira 200,000/=
Si ni kishawishi hiki?
ama kweli OPPORTUNITY ( AND TEMPTATION) MAKES THE THIEF!
Hivi Simba walitolewa katika hatua gani kule Rwanda?
hata wangeweka kiingilio laki tatu viti vyote, sidhani kama iyo hela itarudi..tumeliwa..bilion sita tz kwa mchezo wa siku moja? nani atatuona kwa siku moja, si kama tunataka kujitangaza tungetumia iyo billion sita kurusha hata matangazo CNN tu jamani? kuliko siku iyo moja tu ndo imetoka au kama tuna uchungu na kuojulikana nchi za nje kama wengine wanavyosema tunataka kujiuza sijui kujitangaza, si wangeenza kukodi vitv vidogovidogo huko ulaya hata kumi vituonyeshe hadi vichoke kwa hela hiyo mbona inatosha, ina uma sana.
jamani, hivi tunaongelea simba hapa..hahaha, sasa haya ya simba yanatoka wapi na mada hii?
Hivi kweli.. mnaweza kufikiria kuwaleta Brazil itakuwa less than at least 2 million USD? Hizo timu zina talent ambayo ikijumlishwa hela ya wachezaji wake inatosha kuwa kauchumi ka nchi moja ya kiafrika. Ni lazima watakuwa wamepewa offer ambayo ingekuwa ngumu kuikataa.
KWA MWENDO HUU WIZI NA UFISADI VITAISHA?
Consider this:
Kima cha chini cha mshahara ni 150,000/=
ticket ya mpira 200,000/=
Si ni kishawishi hiki?
ama kweli OPPORTUNITY ( AND TEMPTATION) MAKES THE THIEF!
Maskini mie na kima changu cha chini nitashindwa kuangalia hiyo mechi live..
Kama mnaweza nisaidieni hela ya kiingilio