MIlango mIwIlI, Side by side fridge?? Bei
Hahahahahaha.Yaani ninunue mkononi kwa bei ya dukani?
We fanya 3mil bana tufanye biashara!!
Hahahahahaha.
Aya nirushie 20,000 ili nikuandalie pickup kabisa.
Jamani mimi ni dealer wa electronics za samsumg e.g tv, home theater, fridge, AC, washing machine n.k kwa mtu yeyote atakayeitaji anaweza kunicontact kwa # 0713086602...
Jamani mimi ni dealer wa electronics za samsumg e.g tv, home theater, fridge, AC, washing machine n.k kwa mtu yeyote atakayeitaji anaweza kunicontact kwa # 0713086602...
Nimemaanisha laki nne na hamsini
Watts 1000 inaenda kwa 45000