Mara nying noti mpya zimekuwa zikitayarishwa katika maandalizi ya uchaguzi mkuu, isijekuwa hawa jamaa wamejaribu kutumia njia hiyo kutengeneza 'dili' wakachomekeana?Noti feki zimezidi mpaka zimewafikisha wengine mahakamani!
Kamchezo kama zinatumika world bank procurement procedure ni kagumu sana,kumbuka wao wana oversee zoezi zima japokuwa wabongo ndiyo wanaofanya process yote.World Bank wako strict sana katiuka mambo haya.