BoT na noti mpya 2009

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Tender: Printing of Bank notes

General Information

Country: International
Publication Date: Dec 18, 2008
Deadline: Jan 13, 2009
Funding Agency: World Bank
Buyer: BANK OF TANZANIA
SECRETARY TO THE TENDER BOARD
Original Language: English


BANK OF TANZANIA
REQUEST FOR EXPRESSION OF INTEREST FOR PRINTING OF BANK NOTES

1.0 Bank of Tanzania has set aside funds for various activities during financial year 2008/2009. It is intended that part of the said funds will be applied to cover eligible payments under a contract for printing currency notes of various denomination to meet the payment requirements of the United Republic of Tanzania.
2.0 The Bank of Tanzania now invites reputable and experienced firms world - wide to express their interests in providing the above mentioned services. Interested firms must submit their technical profiles and experience in similar assignment and have to show proven capability to carry out the services. The firms must be registered with respective regulatory bodies or authorities in their countries of origin.

3.0 A firm will be selected in accordance with the procedures set out in the Public Procurement Act No. 21 of 2004 and the Public Procurement Regulations, 2005.

4.0 It should be noted that this is NOT a request for technical or financial proposal. However, interested firms are expected to submit information that will enable the Bank to form an opinion on their technical competence and financial capability. Only firms with demonstrated experience and excellent track record in similar assignments will be considered for shortlisting through letters of invitation including specific Terms of Reference.

5.0 The deadline for submission of the Expression of Interest is Tuesday 13th January 2009 at 12.00 hours Local time. Expression of Interest shall be opened and read in public immediately thereafter. Electronic and late submissions shall not be considered for shortlisting irrespective of any circumstances.

6.0 Prospective firms are requested to submit their expression of Interest in plain sealed envelope marked “EXPRESSION OF INTEREST FOR PRINTING OF BANK NOTES” to:
SECRETARY,
BANK OF TANZANIA CENTRAL TENDER BOARD
10 MIRAMBO STREET
9TH FLOOR SOUTH TOWER
P.O. BOX 2939
DAR ES SALAAM.
 
Tangazo hilo ni uthibitisho wa tranparency kwenye kila zote kubwa kubwa na maadam inasimamiwa na WB hakuna chance ya mazingira ya rushwa wala makampuni ya ma midlemen. This will be a clean deal.
 
Overview:

i175_TzNewNotes.jpg

i176_BoTnotes1.jpg

i177_BoTnotes2.jpg

i179_BoTnotes3.jpg
 
Mkuu Invisible, hivi wameamua kuchapisha noti zingine ili kuondokana na sahihi ya B.P.Mramba? au wanasababu nyingine. Tehe tehe tehe noti zenyesahihi ya fisadi Mramba na Mrehemu Balali zinatoweshwa!!!
 
Mkuu Invisible, hivi wameamua kuchapisha noti zingine ili kuondokana na sahihi ya B.P.Mramba? au wanasababu nyingine. Tehe tehe tehe noti zenyesahihi ya fisadi Mramba na Mrehemu Balali zinatoweshwa!!!
Tender yenyewe imetangazwa JUZI (18th Dec 2008) na huenda highlights zilizotolewa na watanzania zimeleta mantiki ya kuchukua hatua kama hizi haraka kwa manufaa ya Taifa. Noti hizi zilizidi kufojiwa na 'inasemekana' hata Manji ana ka-kiwanda kake ka kufyatua noti za 10,000/- maeneo ya Temeke.

Aidha, sahihi za wahusika nazo ziliongeleka hapa:

https://www.jamiiforums.com/business-economic-forum/20776-kwa-nini-tusichapishe-hela-mpya.html

hasa maeneo haya:

Inategemea na stability ya pesa yetu na ukuaji wa uchumi wetu. Kama inflation ni ndogo, na uchumi unakuwa vizuri, hilo litakuwa ni wazo zuri sana. Hata hivyo, kama uchumi wetu unalegalega na inflation inapanda, kubadilisha sarafu hakutasaidia sana, na inaweza kuwa ni gharama isiyokuwa ya lazima. Zimbabwe walifanya hivyo mwaka juzi na mwaka jana lakini leo hii wanatumia noti za aina hii:

25bill_crop4.jpg


zimbpm100billr.jpg


zimbpm5billr.jpg


Watu wanaandika hundi za namna hii:


Zimbabwecheque.jpg

Argument kuhusu gharama za uchapishaji feza nadhani haiwezi kuwa strong mpaka tukijua what is the real cost involved na vile vile ni kwamba hata sasa pesa bado zinaendelea kuchapishwa kwa denominations tulizonazo. Well sina data ni kiasi gani kwa mwezi au kwa . Kama kuna mtu ana data hizi tafadhali azimwage hapa tujaribu kuanalyse

Nadhani umenielewa vibaya kuhus hili la gharama. Nilisema kuwa ni gharama isiyokuwa ya lazima, siyo kwamba ni gharama kubwa. Katika hiyo gharama isiyokuwa ya lazima ni kama ifuatavyo:

  1. Kuchapisha fedha mpya kunahitaji stencils ambazo zinahitaji kutengenezwa kwa gharama fulani; ukishakuwa na hizo stencil unabaki na kazi ya kuzitumia kufyatulia noti kadri zinavyohitajika. Itakuwa gharama isiyokuwa ya lazima kutengeneza stencil hizo huku ukijua kuwa kufanya hivyo hakuna faida yoyote kwa jamii.
  2. Kila unapobadilisha sarafu, unahitaji kuanza zoezi la kuondoa ile ya zamani kutoka kwenye mzunguko; zoezi hili lina gharama zake ambazo ziyo za lazima kama kufanya hahkuna faida yoyote kwa jamii.

Nimekupata vizuri sasa mkuu kichuguu. Sasa tukitaka kupambana na hili tatizo la hela chafu mtaani tunafanyaje?

Swali zuri sana. Nadhani jambo la kwanza ni kuimarisha wizara ya mambo ya ndani na ile ya fedha ili kuhakikisha kuwa serikali inawajua raia wake wote na mapato yao pamoja na malipo wanayofanya kwa watu wengine. Kwa mfano Marekani wanatumia utaratibu wa Social Security Number ambayo inatumika katika kodi na kufanya mapato ya halali ya kila raia au mkazi wa Marekani yajulikane. Nchi zote zilizoendelea zina utaratibu wa aina hiyo.

Jambo la pili ni kujenga sera nzuri ya utunzaji wa fedha. Kwa nchi kama Marekani, ukienda kununua gari kwa muuza magari ukalipa pesa taslimu dola elfu kumi, ujue unaweza kuishia kunakohusika, kwa sababu ya sheria za kuzuia money laundering.

Jambo la tatu ni kujenga utaratibu imara wa kukagua mapato ya raia wote kila mwaka kujua kama walilipa kodi sawasawa.

Inawezekana hayo hayatoshi ila yatasaidia sana kupunguza hela chafu mitaani.

Napenda kuungana na wote waliochangia kuwa ni gharama isiyo ya lazima kuchapisha hela mpya. Fedha nyingi zipo mijini na kubadili sarafu ina maana ni kwa nchi nzima. Ukisoma ripoti ya hali ya huduma za fedha nchini (2006 , study mpya itakuwa tayari June 2009) utagundua kuwa huduma za kibenki zinapatikana kwa watu 1.6mil tu wengi wakiwa mijini. Nilikuwa Morogoro ndani ndani hivi majuzi ni kuwa ukitaka kupata huduma za benki inabidi kupiga mwendo wa km 160! mpaka morogoro mjini. Sasa kuna watu zaidi ya Mil 25 ambao kwa namna moja au nyingi na kwa uwezo tofauti tofauti wana fedha mifukoni mwao wapo mbali sana na benki. Kwa hali hiyo ukibadili sarafu kwa ajili ya mafisadi wachache ni watanzania wengi watapoteza kiwango kikubwa cha fedha (pengine hata kiwango ambacho mafisadi wanacho) na muda wa kuzibadili ambao ungeelekezwa kwenye shughuli za kiuchumi, GDP itaporomoka kama kweli wanatumia vigezo stahili. Kuhusiana na gharama pia ijulikane kwenye mfumo wa TZD ni kuwa inabidi kubadili kila kitu kwa mfano vouchers, payment systems, mikataba, baadhi ya sheria za nchi zenye viwango vya hela, nk nk. Gharama zote hizi ni ghali na unbearable!. Unless wataalamu waje na model ambayo itanonyesha kuwa tutafaidika kwa hili.


Pili kama lengo ni kuwabana mafisadi wachache (sidhani kama syndicate nzima inazidi watu mia tano) ni kuijenge uwezo mahakama zetu ziweze kuwashughulikia tu kwa mujibu wa sheria.

Tatu: Sina hakika kuwa kuna hela nyingi mitaani kwa sasa kuliko ilivyokuwa miaka miwili iliyopita. Nakumbuka watu walikuwa na hela nafikiri hizo za kifisadi ukienda kuangalia kiwanja mahali tu unaambiwa bei ya kufa mtu.. ukibisha naambiwa mbona jirani yangu ameuza kwa bai hiyo hivi majuzi. Kigezo cha kuwepo hela nyingi ni kuongezeka kwa inflation kwa maana ya kuwa watu wengi sasa wana hela nyingi na vinavyozalishwa ni vichache. Inflation tunayoiona sasa ni kwa sababu gharama za uzalishaji na kodi zimekuwa kubwa kwa hiyo ilalazimika vitu viuzwe bei mbaya. Wakati wa mzee ruksa ilifika mahali watu wanakuwa na hela nyingi mpaka wanazichomekea kwenye soksi na kuna wakati mtu alikuwa akiingia baa anasema fungeni wape watu vinjwaji. Hapo inflation ilikuwa 30% na kukopa benki kama 35%.

Kufanya direct intervention kwa kutoa fedha kwenye mzunguko ni mfumo wa kizamani. Kwa sasa kinachotakiwa ni serikali kutoa fedha zake katika mabenki ya biashara na kuzirudisha BoT. Pili serikali iimarisha masoko ya mitaji. Nitakupa mfano mmoja wa NMB. Walikuwa wamelega kupata bil 60 lakini maombi yalikuwa bil 200 kama sijakosea. Sasa hii ina maana gani. Ni kuwa kama tukiwa na kampuni imara zenye mwelekeo mzuri, watu wapo tayari kuwekeza kwenye hizo kampuni. Wakiwekeza ni kuwa wanatoa fedha kwenye mzunguko na hizi zitatumika kujenga makampuni imara yatakayotoa ajira zaidi na kutumia malighafi ya watanzania walio vijijini pengine. Badala ya kuwa na soko tu la hisa la Dar, tuwe na masoko mengine ili isaidie kutoa fedha kwa wananchi na kukuza mitaji. Tatu serikali kupitia vyombo vyake vya fedha viandae mkakati maalum wa kuharakisha usambazaji wa huduma za fedha. Kuwe na mabenki, mutual funds, waadae wataalamu wa kutosha. Ikiwezekana kila anayepewa fedha ziingie kwenye mfumo wa kibenki. Cha ajabu ni kuwa hili linaeleweka hata kwa benki kuu lakini ukienda seminars watu wanapewa cash cash tu bila hata kujiuliza. Baada ya muda BOT inakuja kutangaza tenda ya treasury bills kwa ajili ya kupunguza fedha mitaani. Mwisho wafadhli wote wanaotoa fedha wabanwe kuwa fedha zote zinazoingia nchini zipitie kwenye vyombo vya fedha hasa hasa benki kuu. Kinachotokea sasa ni kuwa ukiangalia fedha inayooahidiwa na kusemekana kutolewa na wafadhili ni kubwa kuliko ile ambayo actually inaingia kwenye account za serikali. Ifahamike tu kuwa mtindo wa wafadhili kutoa misaada directly kwa walengwa na nyingine kwenye mifuko yao binafsi inaadhiri kuwepo kwa fedha nyingi mifukoni. Kwa ambao wanataka kusoma zaidi wadownload na kuanalyze hizi docs

Naomba kuwasilisha.


Nyambala,
Mkuu binafsi nimesema hivi, ukitaka ku deal na fedha chafu zilizofichwa makaburi ni kuwafunga wote waliokuwa nazo.. Hivyo kusambaa kwa fedha hizo ambako kumezua inlflation kubwa nchini utapungua.
NI fedha ya EPA iliyopandisha sana gharama za maisha Dar hasa ktk viwanja, nyumba za kupanga, Ujenzi nyumba, magari, sehemu za starehe na kadhalika. Leo hii kuna watu Tanzania ukiwaambia kuhusu ukubwa wa dollar millioni 1 (yaani unajiita Millionea wanakushangaa...wao wanaona kama ni vijisenti, jambo ambalo huwezi kuliona nchi yoyote ya Ulaya hata iwe Marekani.. Hata Matajiri wa huku hawana dollar millioni 20 cash zimelala...Prime minister wa hapa aliondolewa madarakani kwa kujihusisha na hongo la dollar 500,000 tena ktk ujenzi wa Hotel ya rafiki yake..

Sasa Kutokana na kamatakamata hii fedha imeanza kuwa ngumu Dar na vitu vingi zinaanza kushuka bei kwa sababu fedha haiku flood mitaani.. kama nilivyosema ukitaka kuzuia mapanya ndani ya nyumba yako..Kuepuka maradhi mengineyo yanayoweza kusababishwa na hawa Mapanya basi deal na hao Mapanya.. Uki shift attention kutazama ni chakula gani kinachowavuta nyumbani kwako hao mapanya utakuwa umejiadhibu mwenyewe..Hii ni kazi mpya na haina Guarantee kuwa mapanya watashindwa kula chakula ambacho wewe mwenyewe hakikudhuru... Hii ndio logic ya msemo wangu uliotangulia..
Na Kichuguu kaizungumzia vizuri sana kiuchumi wakati mimi nimekupa mfano ambao unaweza kabisa kuutazama na kupima ni kipi Bora bila kutumia Kitabu cha elimu..
Sioni kabisa sababu ya kuwaogopa hawa watu kiasi kwamba tunaanza kutafuta sababu nyingine nje ya watuhumiwa.. Wafilisiwe, wafungwe na fedha zao walizoficha zisipate nafasi kusambaa mitaani wakija toka jela 30 years from now, well fedha tayari itakuwa imebadilika..

Mkuu mkandara unachosema ni sahihi lakini watu wenye hela chafu bongo kwa sasa nadhani watakuwa wengi. A tough question is nani hasa exactly ana hizo dirty shilingi. I mean utawatambuaje ili uwaweke ndani?

Na hili lingine la artificial inflation huwa linanikera mno nakumbuka mwaka juzi rafiki yangu mmoja alikuwa anatafuta nyumba ya kupanga (ya kifisadi kidogo... lol ) Just imagine mikocheni, na nyumba wala haitizami bahari jamaa anataka USD 8000 nilishindwa kuamini.

Unakuta plot inauzwa sehemu ambako hata hakufikiki na gari just b'coz is Mbezi beach bila haya mtu anakwambia 150,000,000, maji hakuna umeme nguzo tatu yaani bongo acha tu!!!!!!!!

Noti zenyewe (za sasa) zina sahihi za wafuatao:

Waziri wa Fedha:
Bazil P Mramba

Gavana: Daudi Ballali


Get the message

Of course kama navyosema invisible ni nia mojawapo pia ya kusafisha noti LoL!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa wabongo tulivyo tender inatangazwa kumbe alisha chukua mtu long time hii ni kama zuga tu.
 
Why? Nafikiri ni bora ili kupunguza kutembea na mabulungutu ya noti ukitaka kufanya shopping. Maduka machache yanapokea debit/credit card.
Na ukipigwa roba ukiwa na noti chache zenye thamani ya Tshs 1,000,000/= utajisikiaje? Urahisi wa kubeba nao una athari zake mkulu! Hapa siandiki kama mchumi ila naamini wachumi wanaweza kutanabaisha nini athari za kuwa na noti za thamani kubwa kama za Zimbabwe.
 
Tangazo hilo ni uthibitisho wa tranparency kwenye kila zote kubwa kubwa na maadam inasimamiwa na WB hakuna chance ya mazingira ya rushwa wala makampuni ya ma midlemen. This will be a clean deal.

Pesa zinatoka WB lakini Tender Board yetu, kamchezo kanawezekana hapo
 


Pesa zinatoka WB lakini Tender Board yetu, kamchezo kanawezekana hapo

Kamchezo kama zinatumika world bank procurement procedure ni kagumu sana,kumbuka wao wana oversee zoezi zima japokuwa wabongo ndiyo wanaofanya process yote.World Bank wako strict sana katiuka mambo haya.
 
nasikia wanajiandaa kutoa NOTI ya Laki 1....otherwise tusubiri....maana maneno ya mtaani nayo....
 
nafikiri kuchapisha noti mpya ni kuongeza tu mzigo wa gharama. By the way Worldbank wnatukopesha kuchapa noti kwa nini awatukopeshi tujenge viwanda ana kujenga research centres? Wanatoa soft loan na wako kibiashara na ningefurahi kama watasaidia mambo ya kuwainua wananchi wa kawaida. Mfano wangetoa fedha za kununulia matrekta mtatu kwa kila kijiji Tanzania ningewapa shavu kuliko kufadhili kuchapa noti mpya.
 
BoT to introduce new banknotes

By Mkinga Mkinga
The Bank of Tanzania (BoT) plans a major change of the country's currency notes, some five years since the money currently in circulation was introduced.

The central bank has in a notice published in the media last month, and also posted on its website, invited tenders for the printing of the currency notes.

This comes in the wake of reports that some businessmen had withdrawn from their bank accounts billions of shillings stolen through various corruption scandals.

Contacted for comment on the BoT move, some financial experts in Dar es Salaam cited the infamous External Payment Arrears (EPA) account scandal, through which Sh133 billion was irregularly paid out to some 22 companies and abuse of office for personal gain by some senior government officials as some of factors behind the planned currency changes.

But the minister for Finance and Economic Affairs, Mr Mustafa Mkulo, disagreed with that position, telling The Citizen in a telephone interview yesterday that the currency changes planned by the BoT had nothing to do with EPA scam.

"As a minister I can assure you that the EPA issue is not among those which have made the Government decide to change the currency," Mr Mkulo said.

However, BoT officials responsible for currency management, declined to comment when asked to shed some light on the reported currency changes.

According to the central bank's notice, the deadline for bidders to express their interest in printing the Bank of Tanzania currency notes is next Wednesday.

Sources within the bank said the BoT had decided to change notes as part of a plan to mop up the money paid out to some businessmen through the EPA scam.

The sources said that as the crackdown on the EPA scandal suspects intensified, some of them reportedly withdrew large amounts of the loot from their bank accounts, in a move, which had stunned the Government.

"About Sh18 billion was withdrawn from several local banks by the EPA suspects as the Government was planning to seize their assets and confiscate properties. This is a huge sum of money in the local transactions," the source said.

The source said that considering the global financial crisis, the change of currency would not have been advisable, but that it was necessary to mop up the "dirty money" to ensure economic stability.

The central bank's invitation of tenders means that Thomas De La rue, which has been printing Tanzanian currency, is not guaranteed continuation of the contract.

The Government's media advertisement says in part: "The Bank of Tanzania has set aside funds for various activities during the financial year 2008/09.

It is intended that part of the said funds will be applied to cover eligible payments under a contract for printing currency notes of various denomination to meet the payment requirements of the United Republic of Tanzania."

Through the advert, the BoT has invited "reputable and experienced firms worldwide" to bid for the contract to print the country's new notes.

The plan to change the currency, the sources said, was also partly due to the central bank's desire to remove from the notes the signatures of two former officials implicated in various scandals.

The current notes bear the signatures of former BoT Governor Daudi Ballali, who was sacked by President Jakaya Kikwete after it was revealed by an international audit firm, Ernst & Young, that the BoT lost Sh133 billion under his watch.

The notes also bear the signature of former Finance Minister Basil Mramba, who is facing abuse of office charges at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam.

Yesterday, Dr Haji Semboja, of the Economic Research Bureau at the University of Dar es Salaam told The Citizen that he saw "no substantive reason for the Government to implement such a project at this time".

He said that such changes were normally made when a new administration wanted to have its own notes.

"Sometimes, a new central bank management wants to come up with new things that can be identified with their practice," he said.
But he warned that changing notes usually had disadvantages, especially in the developing countries.

"Let them make sure that no mwananchi loses money in the process. Let the change be gradual such that we do not wake up one day and the note is changed," he said.

Dr Semboja ruled out a bid to control inflation as a factor in the decision to change the currency notes.

"Other countries have in the past changed their notes to control inflation. This cannot be the case in Tanzania as inflation is still relatively low," he said.

The Government last changed bank notes in 2003, when it introduced into circulation denominations of Sh500, Sh1,000, Sh2,000, Sh5000, and Sh10, 000.

At that time, all bank notes in the denominations of Sh10, Sh20, Sh500, Sh1,000, Sh5,000 and Sh10,000, which had been circulating, were withdrawn but continued to be exchanged only at the central bank.

In 1966, Tanzania broke away from the East African Currency Board and issued its own currency in the denominations of Sh5, Sh10, Sh20 and Sh100.
Source: The Citizen
 
So JF we had this in mind before!!!!!!!!
Lakini hiyo tenda hawakuitangaza kwenye magazeti ya Nyumbani na wala wakati inawekwa hapa sikuiona kwenye website ya BoT, nikachukulia Invisible mwongo tu, basi nimekubali wazee
 
Invisible,

Between the line una uhakika Manji na akiwanda cha kutengeneza noti za shilingi 10,000 au ndiyo story za kijiweni?
 
Last edited:
Kama anavyosema Fidel, wabongo wamakwisha chukua chao mapema hasa mkijua kuwa watu wa WB nao wanajulikana sana kwa kuchukua commission za 10%i na hawa jamaa wetu waliopo BOT si wametoka huko huko!! Hiyo advertisement ni kifumba macho tu.
 
Back
Top Bottom