BoT na noti mpya 2009

Hakuna transparency yoyote. Wakati Tangazo linatolewa wajanja wamekwisha wasiliana na washirika wao kukaa mkao wa kula. Rejea tenda ya vitambulisho! inapotangazwa
 
Noti feki zimezidi mpaka zimewafikisha wengine mahakamani!
Mara nying noti mpya zimekuwa zikitayarishwa katika maandalizi ya uchaguzi mkuu, isijekuwa hawa jamaa wamejaribu kutumia njia hiyo kutengeneza 'dili' wakachomekeana?
 
inawezekana kweli manji akawa na kiwanda ,,,,,,,,,,,cha ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,noti.?au ndio kumchafua2
 
Kamchezo kama zinatumika world bank procurement procedure ni kagumu sana,kumbuka wao wana oversee zoezi zima japokuwa wabongo ndiyo wanaofanya process yote.World Bank wako strict sana katiuka mambo haya.

FYI mzee kamchezo huwa kanafanyika dont ask me how. ila kanafanyika this is bongo bwana.
 
Mkulu Naye Alisema Atachapisha Noti Mpya Nina Hofu Tenda Haitatangazwa Kama Kwenye Ndege.
Utasikia Mzigo Wa Noti Umefika
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom